Arsenal CHALI at Norwich, oh! poleni wakereketwa...

mathcom

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
1,396
518
Ndugu wapenzi wa Arsenal poleni kwa kichapo cha bao 1-0 sasa jitihada za champions league zimeanza kuwa ngumu!!
 
Ndugu wapenzi wa Arsenal poleni kwa kichapo cha bao 1-0 sasa jitihada za champions league zimeanza kuwa ngumu!!

Mimi ni mpenzi mkubwa wa kandanda (na si mpenzi wa timu), kwa maana hiyo sioni cha ajabu Arsenal kufungwa na Norwich
 
kumbe ndiyo nyie huwa mnaingia vyumbani mwa mama wakwe zenu tena bila hodi, kisa eti komoni ya mama eliza ilikuwa kali.. tuombe radhi..
 
No doubt yu punk ur such a nut

Matusi ya nini ndugu yangu, wewe una hisa na hiyo arsenal. au umekua kama wale wa Nairobi wanao jitundika!!!
be wise man, raha ya ushabiki upate upinzani sasa haya ya "punk" yametoka wapi tena eh!!
 
poleni sana, tukiwaambia the blues kubwa kuli Arsenal yenu mnabisha.!
 
....Penye ukweli hapafichiki neno.... kufungwa ni kufungwa ..... Arsenal jana walikuwa kama wachovu fulani..... goli ni la kipa . ..... baadhi ya wachezaji walicheza chini ya kiwango.... walijisahau kama wako kiwanjani....... inauma sana sio matarajio ya wapenzi wengi wa Arsenal.... wanataka kurudia staili ya mwaka jana mnashinda mechi moja mnadraw tatu mnafungwa moja.... sijaipenda hiyo... wanatakiwa kukaza buti ..
 
Back
Top Bottom