Wapi tiketi za mechi ya leo ya Simba?

joel amani

Senior Member
Nov 22, 2011
100
8
samahani wadau sijawahi kuingia uwanja wa taifa kuangalia mechi ila leo nataka kwenda kuangalia mechi ya simba nimeomba ruhusa kazini,sasa wapi tiketi zinauzwa? au pale nje ya uwanja
 
samahani wadau sijawahi kuingia uwanja wa taifa kuangalia mechi ila leo nataka kwenda kuangalia mechi ya simba nimeomba ruhusa kazini,sasa wapi tiketi zinauzwa? au pale nje ya uwanja

Mie Sijui Huko sasa hivi msimamo wa Ticket ila tabia za kuuziwa ticket uwanjani kwenye vi Gari bado ipo nafikiri. Nakutakia kila la Kheri Game yako unayoenda kutizama uone Simba wanavyorarua mtu, Joel Amani ingekuwa vizuri ungemchukua na Balatanda na Belo wanaipenda sana Simba Sports Club Hao watu, Kama vipi waache nje wasubiri ile ya kizamani fungulia Mbwa dk za nyongeza.
 
Back
Top Bottom