YANGA na doa JEKUNDU

pilau

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
1,594
446
Klabu ya Yanga imekuwa na malumbano na TFF kuhusiana na nembo ya wadhamini wa ligi kuu ya Vodacom, issue ni doa jekundu katika jezi ambazo wadhamini hao wanazotoa kwa vilabu vyote vinavyoshiriki ligi hiyo, Wanajangwani wanalalamika kuwa lazima doa hilo jekundu liondolewe liwekwe la njano au kijani/nyeusi ................. mbona wachezaji wao wanavaa viatu vyekundu na wanafunga magoli na mara nyingine wanafungwa? na zile noti nyekundu vp... hivi rangi nyekundu ambayo haitakiwi hili DOA la VODACOM au mna lenu jambo?
 
Yanga banaaaaa, doa tu linawachanganya.
 
Hapa kwakweli Viongozi wetu wanaonyesha uchemfu mkubwa,what s doa jekundu?
I personally dont support it,waache kusimamia mambo yasiyo na msingi wasimamie ustawi wa team ili tuchukue Ubingwa kwa style kama ya msimu wa juzi
 
So what? hawa Yanga hawana jipya kwani logo ya Voda inaathiri nini?:A S embarassed:
 
Hapa kwakweli Viongozi wetu wanaonyesha uchemfu mkubwa,what s doa jekundu?
I personally dont support it,waache kusimamia mambo yasiyo na msingi wasimamie ustawi wa team ili tuchukue Ubingwa kwa style kama ya msimu wa juzi
tatizo ni ushirikina kaka hawatakubali hata kwa dawa.
 
hamvai doa jekundu lakini timu nyekundu itawatia ujauzito kila siku muendelee kucheza mpira kwenye mwanaspoti na wenzake.
 
tetesi nilizozipata leo wanafungwa nne pale mwanza labda manji afanye maarifaa..
 
Hatuvai doa jekundu ata msemaje.

Badilini na rangi ya damu kabisa? Mbona huyu ana madoa mekundu kibao

_MG_4568.JPG
 
Klabu ya Yanga imekuwa na malumbano na TFF kuhusiana na nembo ya wadhamini wa ligi kuu ya Vodacom, issue ni doa jekundu katika jezi ambazo wadhamini hao wanazotoa kwa vilabu vyote vinavyoshiriki ligi hiyo, Wanajangwani wanalalamika kuwa lazima doa hilo jekundu liondolewe liwekwe la njano au kijani/nyeusi ................. mbona wachezaji wao wanavaa viatu vyekundu na wanafunga magoli na mara nyingine wanafungwa? na zile noti nyekundu vp... hivi rangi nyekundu ambayo haitakiwi hili DOA la VODACOM au mna lenu jambo?

Timu inaongozwa na kina Akilimali unadhani kuna nin hapo?
 
Hapa kwakweli Viongozi wetu wanaonyesha uchemfu mkubwa,what s doa jekundu?
I personally dont support it,waache kusimamia mambo yasiyo na msingi wasimamie ustawi wa team ili tuchukue Ubingwa kwa style kama ya msimu wa juzi

mkuu hongera,kwa mara ya kwanza naskia harufu nzur toka kinywan mwako..
 
Hapa kwakweli Viongozi wetu wanaonyesha uchemfu mkubwa,what s doa jekundu?
I personally dont support it,waache kusimamia mambo yasiyo na msingi wasimamie ustawi wa team ili tuchukue Ubingwa kwa style kama ya msimu wa juzi
Naona mkuu wameanza kukusikia, wameanza na timu B kwenye mazoezi.
 
Sintashangaa wakikataa kulipwa Elfu kumi kwasababu nazo ni nyekundu. Club kongwe Viongozi wana behave utadhani wana akili za kushikiwa. Arrrrrggghhhh hivi lini tutasimamia na kudai mambo ya msingi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom