simba vs kagera live updates

joel amani

Senior Member
Nov 22, 2011
100
8
Tupo uwanja wa taifa live tunangalia mechi nimekaa jukwaa la simba mpaka sasa simba 1 kagera 0,ila kagera kidogo wamebadilika wanashambulia vizuri,tutaendelea kufamishana ila naskia star tv wako live
 
Mbona kwenye radio wanasema bila bila?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Mbona kwenye radio wanasema bila bila?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Radio ya Mbao hiyo ndio inasema Bila Bila au bado unatumia Radio Kaseti ambayo ume records Game ya zamani inakwambia bila bila Game ni 1-0 Simba wanaongoza.
 
Tupo uwanja wa taifa live tunangalia mechi nimekaa jukwaa la simba mpaka sasa simba 1 kagera 0,ila kagera kidogo wamebadilika wanashambulia vizuri,tutaendelea kufamishana ila naskia star tv wako live

mlioko Taifa mnachelewa kuturushia hizo updates kama zenu, ata hivyo haina haja tukae mbele ya luninga-Star TV.
 
Ngassa kitu gani anachofanya Simba? wakirudi kipindi cha pili lazima anyanyue kiwango chake au wamuweke ubavu wa kushoto.
 
sasa mapumziko Simba 1 kagera 0 sisi tupo uwanjani live hao wanaosema 1-1 ni waongo nafikiri ni mashabiki wa yanga roho zinawauma
 
Back
Top Bottom