Na refa alikuwa ni yuleyule,inaonekana ni maagizo anayowapa wasaidizi wake ili kujipunguzia lawama,sasa ndo nagundua ilibidi kabla ya mechi Yanga wamlalamikie kama walivyomlalamikia Watani zetu kupitia Msemaji(ovyo) wao mpaka akaogopa kutoa maamuzi ya haki yaliyokuwa yaigharimu Simba.
Weka video clip hapo utaonaje au we mganga wa kienyeji?
Kwa mtindo huu mpira tanzania hautakua kamwe!Na ndio maana mechi za kimataifa tunafungwa kwani waamuzi wetu wanawafanya wachezaji wetu kusahau sheria kama hizi,sasa akija mwamuzi wa nje akiacha move kama ile watu wote watalalamika wameonewa kumbe ni kutokuelewa kwetu
Sasa hapo ndio umeonyesha nini? Ile ya Nizar Khalfan na Simba Yoso Eddo Chris hukuiona?Ungeleta uzi wenye ushahidi wa kimstari kama SUPERSPORT ungeeleweka, hapa hamna kitu, jipange upya.Title ipo kwa kingereza kuonyesha msisitizo zaidi...
![]()
Pass ya kupenyezewa,move ya Bahanuzi ambayo iliuliwa kwa kuamuliwa kama offside na Refa pamoja na msaidizi wake, shame on them!
....picha na unachotaka kumaanisha vinatofautiana kabisa kabisa.Title ipo kwa kingereza kuonyesha msisitizo zaidi...
![]()
Pass ya kupenyezewa,move ya Bahanuzi ambayo iliuliwa kwa kuamuliwa kama offside na Refa pamoja na msaidizi wake, shame on them!
Title ipo kwa kingereza kuonyesha msisitizo zaidi...
![]()
Pass ya kupenyezewa,move ya Bahanuzi ambayo iliuliwa kwa kuamuliwa kama offside na Refa pamoja na msaidizi wake, shame on them!
Shame on them kabisa, Ona hata Simba goli lao lilikuwa la offside kabisa...............