Maneno ya Yanga ni kweli yataigharimu Simba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maneno ya Yanga ni kweli yataigharimu Simba

Discussion in 'Sports' started by joel amani, Oct 15, 2012.

 1. j

  joel amani Senior Member

  #1
  Oct 15, 2012
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana jf tujadili hili mana litaua soka kama kweli lipo,baada ya yanga kutofanya vizuri kwenye mechi zake kuna siku hasa baada yanga kufungwa na kagera nilimskia kiongozi wa yanga akiwalaumu wanawahujumu wakati walikubaliana kwenye meza moja hiyo tabia ife lakini simba bado wanaendelea,yule kiongozi akasema anaushaudi tosha na akasema tutaona simba kama atashinda mechi na coast,ni kweli simba alijikamua akatoa sare,je hili ni kweli? tutafika kweli kwenye soka letu? NAWAKILISHA
   
 2. grndossy

  grndossy JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 311
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Sijakuelewa mkuu, labda urudie kusoma ili uone kama umepresent mawazo uliyokuwa nayo sawasawa.
   
 3. M

  Masuke JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Usiyafikirie sana maneno ya hao viongozi wa Yanga, nadhan walikuwa wanajaribu kutuliza upepo wa mashabiki wao wendawazimu wasije wakawachenjia na kuwatoa madarakani.
   
 4. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Yes,ni kweli na simba haitashinda mchezo wowote kuanzia sasa.
   
 5. j

  joel amani Senior Member

  #5
  Oct 17, 2012
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hata mechi ya kagera mambo yameanza kuonekana,kaseja ameachia makusudi hasa goli la kwanza kwani alikuwa na uwezo mkubwa wa kupiga ngumi ule mpira ili utoke nje lakini akanyosha mkono kidogo na kushusha haraka,nafikir alipewa mpunga mnene na swaiba wake mtoto anayefanyia BIOT
   
 6. j

  joel amani Senior Member

  #6
  Oct 17, 2012
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nilikuwa nauliza tu,kuna siku utakuja kuelewa vizuri nafikiri hukuwahi kuskia kauli ya huyo kiongozi wa yanga,endelea kufuatilia mechi za simba baada ya yanga kufungwa na kagera
   
 7. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #7
  Oct 17, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Manji ni jangili nambari moja hatakiwi kujihusisha na soka hata kidogo
   
 8. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #8
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Sawa Maji Marefu.
   
 9. T

  Tanzania1960 JF-Expert Member

  #9
  Oct 20, 2012
  Joined: Sep 6, 2012
  Messages: 204
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hivi wewe nani ameshawahi kushikwa kwa ujangili katika mbuga zetu ?sio akina maharage au tuseme wasomali.
   
 10. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #10
  Oct 20, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Mbona hata kesho Simba hashindi mkwakwani
   
 11. PROPHET POLY

  PROPHET POLY JF-Expert Member

  #11
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 15, 2012
  Messages: 469
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  jiombe wewe kwani leo unafumgwa au sana unasawazisha.
   
Loading...