Cape Verde yaishangaza dunia! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Cape Verde yaishangaza dunia!

Discussion in 'Sports' started by EMT, Oct 15, 2012.

 1. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Kile kisiwa kidogo chenye watu laki tano tuu Cape Verde kimefanikiwa kuingia kwenye fainali za Kombe la Afrika (Africa Cup of Nations) baada ya kucharagaza Cameron na akina Eto'o. Cameroon wametupwa nje baada ya kufungwa jumla ya mabao 3-2 na haka kanchi. Cape Verde watacheza kwenye fainali mwakani South africa. Tanzania tuko wapi? Kanchi kama kama haka kanatinga finaili tena kwa kuichapa Cameroon, sie bado..... Ethiopia nayo imequalify baada ya miaka sijui 30.

  The tiny Cape Verde Islands knocked out former World Cup quarter-finalists Cameroon to pull off one of the biggest shocks in the competition's history, despite defeat in Yaounde. Cape Verde - a country with a population of about 500,000 - had won the first tie 2-0 and they strengthened their position after only 22 minutes of the return game when Portuguese-based striker Heldon scored with a free-kick.

  Cameroon were level minutes later through Achille Emana but still needed three more goals to overturn the aggregate deficit - a task that seemed beyond their dispirited performance. The hosts got their second goal four minutes into stoppage time when 16-year-old substitute Fabrice Olinga came on to convert a Samuel Eto'o cross.

  The return of four-time African Footballer of the Year Eto'o and a change of coach ahead of the second leg did little to resurrect Cameroon's fortunes.They now miss out on the Nations Cup for a second successive tournament, suggesting the era of a regular role as one of African football's superpowers is at an end.

  Cape Verde toyed with their much-vaunted hosts at times, passing the ball around at pedestrian pace in the second half to waste time.

  Also, Ethiopian booked their place at the Africa Cup of Nations for the first time in 30 years bearing Sudan 2-0.
   
 2. p

  pilau JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 1,523
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Nawapongeza.. dunia hii hauna kisichowezekana... tatizo a Wa Tanzania wamelemaa na viongozi wa soka wa miaka 50 iliyopita, wasiokuwa na malengo wala muelekeo............. tutabaki kuona maajabu ya dunia kama haya ya Jamaa wa Cape Verde . ki msingi Tanzania itaendelea kushangaa pengine miaka 50 kama viongozi wanaogombea soka mfano mkoa wa DSM, viongozi hawa walikuwepo tangu mwaka 1972, akina kisiwa.... unakumbuka wimbo wa marehemu Mbaraka Mwishehe.. alipoimba Nawatakia heri viongozi wa FAT (wakati huo ) mwaka 1972 aliwataja kocha Puk Jung oye oye... akawataja aliyekuwa waziri Mgonja, na wengineo lakini kumbuka alimtaja Hamisi Kissiwa .... kisiwa huyu ni yule yule anayegombea leo uongozi katika mkoa wa DSM DRFA kweli tutafika?
   
 3. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,469
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  Tunabishana dini gani iko sahihi zaidi ya ingine
   
 4. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,469
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  Aisee........na yule BAKHRESSA asiye na hela....
   
 5. Fyong'oxi

  Fyong'oxi JF-Expert Member

  #5
  Oct 15, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 267
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwenye red, kubishana tuu?
  Mbona Wanaigeria wamekuwa wakitwangana kabisa kwaajili ya udini, lakini hawakosikani kwenye timu bora Africa.
   
 6. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #6
  Oct 15, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,326
  Likes Received: 1,792
  Trophy Points: 280
  EMT, hata kiuchumi nafikiri hawa jamaa wameshavuka kwa mbali huku tuliko. Wako juu sana kiuchumi kuliko mataifa mengi ya afrika
   
 7. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #7
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,469
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  Kaka unawajua wanaijeria vizuri lakini?
   
 8. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #8
  Oct 15, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Huku kwetu tunashindana kati ya Yanga na Simba kila timu iingize wapenzi wake huko TFF ili wapate mbeleko wanapoboronga bila kusahau kuhakikisha watu fulani fulani kama Wambura haingii huko.

  Baada ya hapo ni kuangalia na kufuatilia fedha za kiingilio cha mechi tu, watengeneze tiketi fake na baadae wazidhulumu klabu, sasa hapo mpira utakua lini wakati wanashindwa kusimamia sheria na kanuni walizojitungia wenyewe.

  Nyambafu kabisa TFF
   
 9. p

  pilau JF-Expert Member

  #9
  Oct 15, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 1,523
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  .............. Eeeh bwana huyu jamaa inaonekana asiporuhusiwa kugombea ... atakufa
   
 10. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #10
  Oct 15, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  mkuu, sisi tuko kwenye quantity na sio quality na sio ajabu kukuta hata baraza la mawaziri au watoto mashuleni haiangaliwi akili bali tunaangalia ni waislamu na wakristo wangapi, wahaya na wakinga wangapi, kanda ya kusini na kanda ya mashariki wangapi!
  Hiyo 50 unayosema hebu zidisha mara 2 au tatu hivi

   
 11. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #11
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  523,568 (July 2012 est.)
  country comparison to the world: 171
  This island economy suffers from a poor natural resource base, including serious water shortages exacerbated by cycles of long-term drought and poor soil for agriculture on several of the islands. The economy is service oriented with commerce, transport, tourism, and public services accounting for about three-fourths of GDP. Although about 40% of the population lives in rural areas, the share of food production in GDP is low. About 82% of food must be imported. The fishing potential, mostly lobster and tuna, is not fully exploited. Cape Verde annually runs a high trade deficit financed by foreign aid and remittances from its large pool of emigrants; remittances supplement GDP by more than 20%. Despite the lack of resources, sound economic management has produced steadily improving incomes. Continued economic reforms are aimed at developing the private sector and attracting foreign investment to diversify the economy and mitigate high unemployment. Future prospects depend heavily on the maintenance of aid flows, the encouragement of tourism, remittances, and the momentum of the government's development program. Cape Verde became a member of the WTO in July 2008.
   
 12. Mr.Professional

  Mr.Professional JF-Expert Member

  #12
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 1,602
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  tumeendekeza majungu zaidi ya maandalizi ktk michezo
   
 13. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #13
  Oct 15, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Kocha mpya wa Uganda, ambaye nafikiri ni Scottish alimwuliza mwajiri wake mpya (Chama cha soka cha Uganda) kama ingewezekana kurekodi mechi za nyuma za timu ambazo Uganda inatajariwa kucheza nazo, lakini akaambiwa kuwa hili haliwezekani kabisa kwa sababu chama cha soka cha Uganda hakina VHS video recorders au tapes, achilia mbali DVD players.

  Sujui TFF wana hivi vifaa?
   
 14. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #14
  Oct 15, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,326
  Likes Received: 1,792
  Trophy Points: 280
  Jamaa wanaenda vizuri sana hawa pamoja na kukosa kabisa natural resources.
   
 15. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #15
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Wambura Mwita Chacha!
   
 16. p

  pilau JF-Expert Member

  #16
  Oct 15, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 1,523
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135


  ..................Pamoja na matatizo yote waliyo nayo.............. waeonyesha kwamba wanaweza...... na football itawainua hasa wakiendelea kufanya maajabu... si unafahamu nchi ndogo masikini kama Togo, Mali... kwa kutoa wachezaji (hapa baadhi) wanaocheza ulaya kuumbuka Keita alipokuwa Barcelona na Adebayo alipokuwa Arsenal .. wamezifanya nchi zao zionekane katika ramai ya dunia
   
 17. p

  pilau JF-Expert Member

  #17
  Oct 15, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 1,523
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  ....Na ni katika michezo yote... wamethubutu hata kupeleka mashemeji zao nje wakati timu za taifa zinakwenda kwenye mashindano....wengine wamefanya biashara haramu kwa kupitia mashindano mbali mbali.......... (hivi wale jamaa wa ngumi wameishia wapi?)...... na hakuna adhabu yoyote iliyotolewa kwa waliofanya vitendo hivyo... yaani ni stupid sana ina kera,....
   
 18. g

  gutierez JF-Expert Member

  #18
  Oct 15, 2012
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 1,254
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Kina Nani,Bebe,bibi wa Cristiano Ronaldo,na bibi wa Henrik Larson wote wana asili ya nchi hii ya Cape Verde ndio mara yao ya kwanza kuingia AFCON
  TZ tunaongea sana mpira wa mdomo.
   
 19. P

  Pazi JF-Expert Member

  #19
  Oct 15, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 2,918
  Likes Received: 623
  Trophy Points: 280
  Tanzania tushazoea kungangania Madaraka Mpaka Viongozi wa Miss Tanzania ndio hao hao uongo kweli? hata humu Jamiiforum tukitaka kubadili viongozi wanaoendesha hii Forum uone kama hawajanuna humu.
   
 20. p

  pilau JF-Expert Member

  #20
  Oct 15, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 1,523
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135


  ...........Mimi simo..............
   
Loading...