Prezzo through to finals
By JOHN MUCHIRI jmuchiri@ke.nationmedia.com
Posted Monday, July 30 2012 at 01:45
Kenya's contestant in the Big Brother Africa reality show...
Mabingwa wa kusakata kabumbu ukanda mzima wa Africa ya Mashariki na Kati, Dar-es-salaam Young Africans almaaruf kama Yanga leo watakuwa bungeni kwa Mwaliko wa Waheshimiwa wabunge wanaothamini...
Can U imagine bila usajili wa Mshambuliaji Mrisho Ngassa na beki kisiki Mbuyi Twite mkutano wa wana Msimbazi leo ungekuwaje...issue ya kula rambirambi za Mafisango(RIP) (kwani wako wana Simba...
Edson Arantes do Nascimento - Pele (Brazil)
Lionel Messi - Atomic Flea (Barcelona)
Iddi Pazi - Tanzania One (Simba)
Muhammed Mwameja - Tanzania One au Meja (Simba)
Muhammed Hussein - Mmachinga...
Yule mchezaji mrefu na mwenye uwezo mkubwa wa kuzifumania nyavu, DIDIER KAVUMBAGU ametambulishwa rasmi na kukaribishwa kwa wana jangwani tayari kuungana na akina Kiiza na Bahanuzi katika safu ya...
Serena Williams of the U.S. (C) poses with her gold medal along with silver medallist
Maria Sharapova of Russia (L) and bronze medallist Victoria Azarenka
of Belarus during the presentation...
Leo asubuhi wamenikera kwenye kipindi chao cha michezo, eti wametangaza mechi kati ya Great Britain vs Korea iliyopigwa jana usiku eti hakukuwa na mshindi baada ya kuisha dakika 90 wakiwa drooo...
Mbwana Ally Samatta ameng'ara tena kwenye CAF Champions League 2012 leo jioni baada ya kuifungia timu yake dhidi ya Waarabu hao wa Misri. Bao la kwanza lilofungwa na kiungo Isaac Kasongo dk. 70...
Napenda kutumia nafasi hii kuwafahamisha wana Simba wenzangu juu ya ukweli uliopo kwa Emmanuel Okwi kujiunga na Yanga, Emmanuel Okwi anatarajiwa kurejea nyumbani hivi karibuni na mara tu atakapo...
Unaweza usiamini lkn Mshambuliaji mpya wa Mabingwa wa soka Tanzania Bara Mrisho Khalfani Ngassa leo ameanza mazoezi rasmi na team yake mpya kujiandaa na mashindano ya Kombe la Mbuzi ABC nini sijui...
BBC BBC News - Who, What, Why: Why are US athletes taxed on Olympic medal wins?
US medal-winning athletes at the Olympics have to pay tax on their prize money - something which is proving...
Chinese swimmer Ye Shiwen smashed world record by a second and her own personal best by five seconds
Coach John Leonard said history suggested doping could be involved
Called feat 'impossible'...
Ningependa kuwashauri muache kuyumbishwa na watu wasiolitakia mema soka la Bongo kwa maslai yao binafsi badala ya kulikuza na kuliendeleza kwa dhati,tuanze na viongozi wa vilabu haswa Simba na...
Wapenzi wengi wa soka walikuwa wanajua kuwa timu ya Azam ndiyo itakuwa mbadala kwa soka letu la bongo kumbe ni danganya toto, hii inatokana na bosi wa Azam kuingilia kazi ya kocha kwa kumpangia...
Hapo ndo mtakapojua kuwa soka la bongo la majungu, kukomoana, fitina na chuki. Hivi mtu na akili yako kweli unadiriki kufanya ujinga kama huu aliofanyiwa Ngasa? hilo suala dunia nzima hakuna lipo...
Wakati michuano ya cecafa inaendelea kulikuwa na matangazo ya bidhaa za azam kwenye uwanja wa taifa kikawaida ili mtu aweke matangazo hayo inabidi walipie lakini wakati wa utoaji wa zawadi kwa...