VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
Dakika ni ya 16,bao ni moja kwa moja.Manucho kafunga la Valladolid na Benzema la Madrid.Mpira ni mkali mno...
mmmmmh leo ni leo akipigwa RM anakuwa 14 points kutoka kwa Barca yaan ihapo atasahau title
hivi messi aliumia kiasi kikubwa hata kukosa mechi ya kesho!!Itakuwa hivyo iwapo Madrid atapoteza leo na Barca kushinda kwa Real Betis bila Messi hiyo kesho...
sidhani kama huyo mreno ataendelea kukaa hapo!!ndo safari yake hiyo!Marehemu Real Madrid
hivi messi aliumia kiasi kikubwa hata kukosa mechi ya kesho!!
unadhani timu inasuasua au yeye ndo kaishiwa mbinu!!!Morinho huo ndio mwisho wake hawwezi endelea pale lazima atasepa tu maana timu imesuasua sana msimu huu
hivi ndo ile record aliyotarajiwa kuivunja ndo imegoma!!??Amepata mchubuko tu kwenye goti lake la kushoto.Si majerahamaku bwa Mkuu.Aweza kukosa mechi moja ya keshp au acheze kabisa...
hivi ndo ile record aliyotarajiwa kuivunja ndo imegoma!!??
namtakia kila la heri!!na ana hitaji goli ngapi only 1?Bado anayo nafasi hiyo hadi mechi za Disemba hii zitakapoisha...
namtakia kila la heri!!na ana hitaji goli ngapi only 1?
ok,nadhani hata yeye atapenda kucheza kesho ili kujaribu possibility ya kuvunja hiyo record!Ndio.Akifunga mbili ataweka rekodi yake binafsi...
ok,nadhani hata yeye atapenda kucheza kesho ili kujaribu possibility ya kuvunja hiyo record!