Aka ka andunje hata Ronaldo el phenomena amekanyooshea mikono ila
Gang Chomba atakuja na ooh kachukua world cup ngapi? Hivi wachezaji bora wote wakichukua world cup itakuwaje hapo....baadhi tu ya ma legends ambao world cup hawakuwai kuishika japokuwa walikuwa wakali.....Van Basten,Cyruff,Hagi,stoickov,Nedved,george weah,Messi,
Cr7,Figo,raul,seedorf na wengine wengi
labda kama watu wanamkataa Messi kwa ubishi tu na hakuna kama Messi so far ballon d'or anaichukua kwa mara ya 4 na kuweka rekodi mpya na World best player award nayo yake CR7 alie tu