ARTETA na MATUTA...

ARTETA na MATUTA...

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,007
Penati mbili zilizopigwa na Mikel Arteta zilitosha kuipa Arsenal ushindi dhidi ya West Brom.Sasa Arsenal imepanda hadi nafasi ya sita. Matokeo mengine ya leo ni haya:

[TABLE="class: league-table"]
[TR]
[TD="class: fh"]Aston Villa [/TD]
[TD="class: fs"]0 - 0[/TD]
[TD="class: fa"] Stoke [/TD]
[/TR]
[TR="class: even"]
[TD="class: fd"] [/TD]
[TD="class: fh"] Southampton [/TD]
[TD="class: fs"]1 - 0[/TD]
[TD="class: fa"] Reading [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: fd"]
flash.gif
[/TD]
[TD="class: fh"] Sunderland [/TD]
[TD="class: fs"]1 - 3[/TD]
[TD="class: fa"] Chelsea [/TD]
[/TR]
[TR="class: even"]
[TD="class: fd"]
flash.gif
[/TD]
[TD="class: fh"] Swansea [/TD]
[TD="class: fs"]3 - 4[/TD]
[TD="class: fa"] Norwich [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: fd"]
flash.gif
[/TD]
[TD="class: fh"] Wigan [/TD]
[TD="class: fs"]2 - 2[/TD]
[TD="class: fa"] Queens Park Rangers [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Mkuu leo ilikuwa upande wetu sisi asernal, sio kila siku kwa man united, ngoja kesho kama man city watalegea man U watatutua penati.
 
VUTA-NKUVUTE hiyo timu ya wavuta kamba ya kina mama!!napendaga kuwashuhudia kina mama wakivutana!!!!
 
Last edited by a moderator:
kwa hiyo unataka niambia toress sasa ndo anaingia kwenye neema!!!

May be utabili wa mwanamichezo VUTA-NIKUVUTE unaweza kutimia mkuu, who knows by the way.

Lakini bado naona kwa mtazamo wangu, kumpoteza de mateo ni kupoteza bonge la kocha jamaa alikuwa nabahati pia.
 
May be utabili wa mwanamichezo VUTA-NIKUVUTE unaweza kutimia mkuu, who knows by the way.

Lakini bado naona kwa mtazamo wangu, kumpoteza de mateo ni kupoteza bonge la kocha jamaa alikuwa nabahati pia.
kiongizi naona jamaa (de mateo) alishafika peak na kuanza kurudi chini!binafsi nadhani rafa anaweza fanya kazi tatizo mashabiki hawajamkubali!!!tumpe muda kidogo tuone kama bado ana ule uwezo wake wa awali akiwa Liver!
 
Mkuu leo ilikuwa upande wetu sisi asernal, sio kila siku kwa man united, ngoja kesho kama man city watalegea man U watatutua penati.
kiongozi mechi ya kesho ndo itakayo amua nani anaingia 2013 akichekelea kileleni!!!
 
kiongozi mechi ya kesho ndo itakayo amua nani anaingia 2013 akichekelea kileleni!!!

Ni kweli mkuu Zamaulid kesho mapema nitajiandaa kwa kila hali, yaani tanesco siwaamini itabidi kwenye kagerator mapema niweke kapetrol ili tanesco wakisepa tu navuta kamba.
 
Ni kweli mkuu Zamaulid kesho mapema nitajiandaa kwa kila hali, yaani tanesco siwaamini itabidi kwenye kagerator mapema niweke kapetrol ili tanesco wakisepa tu navuta kamba.
mkuu usiipanie sana!si unajua gemu ukiipania unashindwa hata kufaidi!!ila kama kuna uwezekano kauangalizie bar na mashabiki ndo utaipata raha yake!!chukua tu kagenerator kako uende nako bar,just in case!!
 
Nimekupata mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom