Msigwa cup yaanza kwa kishindo mjini iringa timu 56 kuchuana

kamandamakini

Senior Member
Feb 17, 2012
165
250
Msigwa alieleza huu ni utekelezaji wa ahadi zake alizo toa katika sekta ya michezo, wana michezo wa iringa mjini wakiri wazi kuwa haijawahi kutokea mashindano makubwa ya namna hii.

zaidi pitia:MH. PETER MSIGWA BLOG

SAM_0320.JPG

SAM_0303.JPG

SAM_0299.JPG

SAM_0297.JPG

SAM_0279.JPG

SAM_0255.JPG
 

Attachments

  • SAM_0252.JPG
    SAM_0252.JPG
    592.5 KB · Views: 101

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
94,443
2,000
Kwa sababu ilishasemwa kwamba ahadi ni deni ! Basi hakuna haja ya kukwepa ulichoahidi , bali waungwana hatuna budi kuzitimiza ahadi zetu ,liwake jua au mvua inyeshe ! Pamoja na njama zote za chama cha soka mkoa wa Iringa kwa kushirikiana na Mwakalebela lakini bado umeweza ! Hongera MSIGWA !
 

amkawewe

JF-Expert Member
Dec 9, 2011
2,024
1,195
Good work. Keep it up and may God bless all who are working for His people.
 

Gomic

Senior Member
Dec 8, 2012
102
225
Hongera sana Mh Msigwa kwa kuwaweka pamoja wanyalu na wenyeji wa jimbo la Iringa mjini
 

ARICH

Member
Dec 3, 2012
40
70
Timiza ahad mh. kwan kuna madam jesca ucvyokuwa makini atakuangasha kwan ni mdau wa kila kitu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom