Ngasa ajiunga el marreikh

mpalu

JF-Expert Member
Sep 15, 2010
2,509
2,000
[h=5]Edo Kumwembe[/h]16 minutes ago

Mrisho Ngassa amejiunga El Marreikh kwa dola 70,000 kutoka Azam......mshahara atajijua mwenyewe!!....ikumbukwe kuwa Ngassa ni mali ya Azam sio Simba...
 
mpalu

JF-Expert Member
Sep 15, 2010
2,509
2,000
all the best mrisho khalfan ngassa.
Timu za wachawi kama simba na yanga hazikufai, ndizo zinzo spoil mpira wako
kumbika lakin hata azam walishaanza kuspoil mpira wake simba ndo waliomrudisha
 
mpalu

JF-Expert Member
Sep 15, 2010
2,509
2,000
MPIRA WA BONGO KIBOKO .....NGASA ALIVUTA MIKWANJA SIMBA NA BADO ALIKUWA NA MKATABA NA AZAM....SIMBA WAMELIWA RB NAONA DALILI YA RB NYINGINE KUNUKIA.....Rage upo
 
Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
53,255
2,000
MPIRA WA BONGO KIBOKO .....NGASA ALIVUTA MIKWANJA SIMBA NA BADO ALIKUWA NA MKATABA NA AZAM....SIMBA WAMELIWA RB NAONA DALILI YA RB NYINGINE KUNUKIA.....Rage upo

ALIVUTA na HII MAKITU PIA.. 

Bei Mbaya

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
2,263
1,250
MPIRA WA BONGO KIBOKO .....NGASA ALIVUTA MIKWANJA SIMBA NA BADO ALIKUWA NA MKATABA NA AZAM....SIMBA WAMELIWA RB NAONA DALILI YA RB NYINGINE KUNUKIA.....Rage upo
mkataba ndani ya mkataba,mkataba wake na simba unaeleza kipindi atakachokuwa nao na vinginevyo pia kuna makubaliano
 
mpalu

JF-Expert Member
Sep 15, 2010
2,509
2,000
shafii naye ameripoti kwamba baada ya yanga kugoma kumuuza niyonzima jamaa wanamtaka ngasa habar zaidi nitaendele kuwaletea(KUMBUKA ALIRIPOTI HABARI HII KABLA YA DILI KUKAMILIKA) GONGA HAPA http://MRISHO NGASSA MBIONI KUJIUNGA NA AL MERREKH YA SUDAN!
 
adakiss23

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
3,599
2,000
Kila la kheri kijana. Yanga walishindwa kukuuza. Afadhali Azam wamefanikiwa kwa mbeleko ya Simba.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom