Neymar Katuzidi Akiri Ronaldinho!

Companero

Platinum Member
Jul 12, 2008
5,605
1,684
Gang Chomba eti kweli?wapi Raymond Ndunguru Okocha?

Hili halina ubishi, hata Ronaldo wa Ukweli hajawahi kupata hii tuzo aliyopewa Neymar - toka 1970 ni yeye na Pele tu ndio wanayo!
 
gutierez

JF-Expert Member
May 14, 2010
1,246
158
Hili halina ubishi, hata Ronaldo wa Ukweli hajawahi kupata hii tuzo aliyopewa Neymar - toka 1970 ni yeye na Pele tu ndio wanayo!
Mi namtaka Gang Chomba aongee maana juzi alikuwa anatutangazia mechi na kikosi cha AC Milan vs Zenith,ghafla bin vuu mawasiliano yakakatika sa sijui kunani kilitokea au Al Qaeda walifanya v2 vyao,maana anaripoti matokeo ya mechi za AC Milan vikosi hadi mabao sasa sijui hapo Turati Road imekuwaje,sina matokeo ya hiyo mechi naomba anijuze!
 
mtotowamjini

JF-Expert Member
Apr 23, 2012
4,527
1,163
mnaoangalia zaidi mechi za south america neymar ameshashinda nini kwenye career yake?
 
Companero

Platinum Member
Jul 12, 2008
5,605
1,684
Mi namtaka Gang Chomba aongee maana juzi alikuwa anatutangazia mechi na kikosi cha AC Milan vs Zenith,ghafla bin vuu mawasiliano yakakatika sa sijui kunani kilitokea au Al Qaeda walifanya v2 vyao,maana anaripoti matokeo ya mechi za AC Milan vikosi hadi mabao sasa sijui hapo Turati Road imekuwaje,sina matokeo ya hiyo mechi naomba anijuze!

Ndugu Gang Chomba yupo kwenye jukwaa la mapishi anaombea Milan isipangiwe Barca!

Gutierez sema wewe mwanakwetu ambaye ni mspain...
ningesema mimi ningeambiwa Buluda
 
Companero

Platinum Member
Jul 12, 2008
5,605
1,684
mnaoangalia zaidi mechi za south america neymar ameshashinda nini kwenye career yake?

Naona unabishana na kina Ronaldinho wenyewe wanaokiri kuwa hajawahi kutokea dogo mkali kama huyu toka enzi za Pele!

"Neymar has become the first player since Pele to be given the honour of 'hors concours' - Brazilian football's most prestigious award for being 'out of competition'" - Neymar earns Brazil's most prestigious award - ESPN FC
 
Gang Chomba

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
19,609
4,166

Jibu swali.
Naima amewahi kushinda kikombe gani kwa huko America ya Kusini?
 
Gang Chomba

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
19,609
4,166
dah Nonda mambo vp mkuu?
kitambo kimepita sijakutana na bandiko lako...ilikuwa tangu enzi ya mapambano dhidi ya kumng'oa kamanda Muammal Gadaffi...kheri lakini?
 
Zakumi

JF-Expert Member
Sep 24, 2008
5,065
2,423
nipo tayari mkuu

Miaka ya nyuma ulilonga kuwa pale UDSM tayari kuna kamusi za kiswahili zenye terminogies za mambo ya sayansi. Je naweza kupata za hisabati? Kuna vitu nafanyia kazi. Unaweza ukii- inbox .
 
Companero

Platinum Member
Jul 12, 2008
5,605
1,684
Miaka ya nyuma ulilonga kuwa pale UDSM tayari kuna kamusi za kiswahili zenye terminogies za mambo ya sayansi. Je naweza kupata za hisabati? Kuna vitu nafanyia kazi. Unaweza ukii- inbox .

niliwahi kuziona ila niko mbali na huko, halafu tovuti yao naona ina kwi kwi
 
mtotowamjini

JF-Expert Member
Apr 23, 2012
4,527
1,163
Naona unabishana na kina Ronaldinho wenyewe wanaokiri kuwa hajawahi kutokea dogo mkali kama huyu toka enzi za Pele!

"Neymar has become the first player since Pele to be given the honour of 'hors concours' - Brazilian football's most prestigious award for being 'out of competition'" - Neymar earns Brazil's most prestigious award - ESPN FC

hujajibu swali langu.....ronaldo, ronaldinho rivaldo na wengineo wengi wameshashinda champions league, league titles, domestic cups na world cups, pia wameshashinda individual awards kama world player of the year...sasa huyo dogo yeye ameshashinda kitu gani? Pele alikua na medals hakua anafanya kazi ya kanisa uwanjani
 
Gang Chomba

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
19,609
4,166
hujajibu swali langu.....ronaldo, ronaldinho rivaldo na wengineo wengi wameshashinda champions league, league titles, domestic cups na world cups, pia wameshashinda individual awards kama world player of the year...sasa huyo dogo yeye ameshashinda kitu gani? Pele alikua na medals hakua anafanya kazi ya kanisa uwanjani

Ebana mtotowamjini swali lako manshaalah na namsubiri Companero aje atoe jibu husika.
Najuwa huko aliko anapanga propaganda ya kuja kutupa hapa.

Companero swali limerudiwa tena kwa kunyooshwa zaidi ili iwe rahisi kwa wewe kutupatia jibu, hasa mimi mfiligiswa na mfulukutwa na mgalagala ambaye pia ni muumini wa Gaucho kama inavyofahamika hapa Duniani na Mbinguni.

Achana na maswala ya kamusi hizo, jamaa ataku PM njoo ujibu swali husika linaloendana na thread yako.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom