Wapenzi wengi wa soka walikuwa wanajua kuwa timu ya Azam ndiyo itakuwa mbadala kwa soka letu la bongo kumbe ni danganya toto, hii inatokana na bosi wa Azam kuingilia kazi ya kocha kwa kumpangia...
Hapo ndo mtakapojua kuwa soka la bongo la majungu, kukomoana, fitina na chuki. Hivi mtu na akili yako kweli unadiriki kufanya ujinga kama huu aliofanyiwa Ngasa? hilo suala dunia nzima hakuna lipo...
Wakati michuano ya cecafa inaendelea kulikuwa na matangazo ya bidhaa za azam kwenye uwanja wa taifa kikawaida ili mtu aweke matangazo hayo inabidi walipie lakini wakati wa utoaji wa zawadi kwa...
Katika kudhihirisha kama alikwenda Azam kimakosa kijana huyo mwenye kasi mithili ya B52, Mrisho Khalfan Ngassa katika mechi mbili za mwisho aliweza kuonyesha mapenzi ya dhati kwa mashabiki wa...
Nimesikia BBC, mtoto wa miaka 16(nadhani wa kike) amevunja record upande wa kuogelea.
Inasemekana speed yake ilikuwa karibu sawa na ya muogeleaji mwanaume.
Ila baadhi ya washiriki wanasema hiyo...
kipindi cha spoti kizaazaa ITV jumapili usiku mida ya saa tatu aka "hospitali ya michezo",
kipindi hiki huwa nakifuatilia sana, lakini nashngazwa na jamaa mmoja mle ndani anaitwa abdul kipenga...
Kobe Bryants wife got mad at him for shirtless picture at Team USA party
Just like any wife who saw a photo on the Internet of her previously philandering husband sitting shirtless on a bar...
Na sema hvy coz tumeona nchi kama Jamaica kule mpaka Bolt akapata mpinzani!kuna na juhudi za mapema kabisa za kupata washiriki wenye viwango vya hali ya juu,sijajua sisi inakuwaje kila mara...
Mojawapo wa utofauti ambao nimekuwa nikiamini umeletwa na team ya Azam ni undeshwaji wa kisasa wa team hiyo inayomilikwa na mmoja wa matajiri wakubwa sana hapa nchini. Katika team hii sikutarajia...
Ammaar Ghadiyali will be swimming on Tuesday 31st July at 10am London time.The Dar time will be 12 in the afternoon.
MAIL RECEIVED FROM AMMAAR:
Dear All
I visited the Olympic village...
Katika mwaka ambao Simba wamelamba galasa ktk usajili wa wachezaji wapya ni mwaka huu 2012. Mchezo ulioonyeshwa na watani ktk kombe la Kagame ni wa kiwango cha chini mno hata hivyo sijui...
Website ya simba mbona siielewi maana haijawa updated tangu mwezi wa 8 mwaka jana.HIvi uwanja wa simba umefkia wapi tena,hivi vifaa vya gym na sweeming pool bado?kiwanja cha bunju cha simba nani...
Sh1.3 billion Arsenal swoop for Victor Wanyama ‘in the works'
Harambee Stars' Victor Wanyama in a tussle for the ball with Malawi Flames' Kayira Chamaonga on 2nd June 2012 during...
Kwa mtazamo wangu:-
Tom Saintfiet Mkuu wa benchi la ufundi la Yanga: Kocha bora wa mashindano.
Vigezo vya ku'support hili:-
1. Ni kocha pekee kati ya makocha wote waliokuwa na team shiriki...
1. Eti yanga ni ccm wakati yanga ilianzishwa mwaka 1935 ccm 1977.
2.watangazaji jana kwa mfano clouds fm wameitangaza fainal kwenye michezo yao kwa dakika3.
3. Wandishi wa habari kuponda...
Kijana mmoja aliyekuwa anauza magazeti ya siku ya leo tarehe 29.07.2012,alijikuta akilazimika kurudi nyumbani mapema baada ya kujikuta akiniuzia magazeti yote mimi
Baadhi ya magazeti hayo,mengine...
Huu wimbo wa yanga africa ulioimbwa na pepe kale, mimi siupendi yaani uaniuzi kishenzi.
Na sasa kuanzia jana nasikia unapigwa sana kwenye radio mbalimbali sijui sbabu yake nini. Wimbo mbovu...
Siku zote matokeo ya uwanjani katika mchezo wa mpira wa miguu ndo hutoa picha kamili ya nani anajua.
Yanga walipiga mechi 2 za kirafiki, ya kwanza dhidi ya Xpress ya Uganda ambapo walishinda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.