Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

RAGE ALISAMBARATISHA TAWI LA SIMBA LA MPIRA PESA MWENYEKITI wa Simba, Ismail Rage amelifunga Tawi la wanachama wa timu hiyo linaloitwa Mpira Pesa kwa madai ya kukiuka katiba ya klabu hiyo, pia...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Asalaa alkhum wanajamvini, Kwa kipindi kirefu nimekuwa nikifuatilia utendaji kazi wa Rais wa TFF Ledger Chilla Tenga nimegundua kuwa hanajipya katika kuleta mabadiliko ya soka la Tanzania na hata...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu?? Jee kuna uwezekano wa kuona mechi ya Serengeti boys na Congo ! Atakae pata link yake basi atuwekee hapa tuweze kufuatilia mpambano! Ahsanteni sana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
chama cha waamuzi wa mpira wa miguu inchini kimekaidi agizo la kamati ya uchaguzi ya tff ya kusimamisha uchaguzi huo iliyotolewa na mwenyekiti wake Deo lyatto. hivyo chama hicho kimefanya uchaguzi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Na Mahmoud Zubeiry BEKI wa Azam FC, Aggrey Morris Ambroce amefukuzwa kwenye kambi ya timu hiyo leo mjini Tanga, baada ya kuthibitika naye alipokea rushwa kutoka klabu ya Simba ili kuihujumu timu...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
LiveScore.com : International Soccer Live Scores
0 Reactions
2 Replies
871 Views
Okwi akubali ku-sign yanga, source ;gazeti CHAMPION.Sitaki simba mtuuzie mutu huyu, ligi itakosa ushindani!
2 Reactions
17 Replies
2K Views
WEDNESDAY, NOVEMBER 14, 2012 TAIFA STARS YAIDUNGUA HARAMBEE STAR 1-0 CCM KIRUMBA MWANZA Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, leo imeibika na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Harambee Stars...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Leo imeishinda timu ya Taifa ya Kenya kwa goli moja kwa bila.Goli la ushindi limefungwa na beki Aggrey Morris dakika ya 7 ya mchezo. Hatahivyo,Stars na Harambee Stars walicheza chini ya kiwango.
1 Reactions
4 Replies
953 Views
Wadau leo kuna mechi kibao za kimataifa, mwenye link ktk internet atupie hapa wengine leo tupo maeneo hayana DSTV wala nini.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wanyama arrives for Stars' clash with Tanzania PHOTO | IAN MACNICOL Barcelona's Spanish player Pedro Rodriguez (L) competes with Celtic's Kenyan player Victor Wanyama during their UEFA...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Hivi jamaani watanzania huu uteuzi wa wachezaji wa Taifa Stars umezingatia nini hasa?yaani unamchukua mchezaji ambaye hata nusu ya mechi za ligi hajacheza ,labda mimi sioni vizuri kwa hiyo...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Mimi ni mpenzi wa mchezo wa Chess, ningependa kufahamu ni sehemu gani hapa Dar, ambapo nitaweza kupata sehemu ambapo mchezo huu watu wanapenda kucheza au some sort of club ambapo watu wanacheza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wanajamvi,kama kawaida yetu leo tutakuwa tukijuzana matokeo na matukio mbalimbali yatakayojiri uwanja wa taifa na vingine mikoani,Mzee wa Rula mimi nitakuwepo uwanja wa taifa live...
1 Reactions
194 Replies
15K Views
kama wale wazanzibari wanavyoomba waachwe wapumue, na mimi nawaomba yanga na uongozi wao waiache simba ipumueee, wametengeneza mgogoro wa wachezaji na pia wanazipanga timu zinazokutana na simba...
2 Reactions
30 Replies
5K Views
Barcelona's Lionel Messi scored his 75th and 76th goals of 2012 against Mallorca on Sunday to eclipse Pele's record for goals in a calendar year. Sixty-four of those were for Barca and 12 for...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu. Kama mnavyo jua kuwa leo kutakuwa na kabumbu kali kwenye uwanja wa mkwakwani kati ya wagosi wa kaya Coastal Union na Yanga ya Dar es salaam. Mechi ya leo itakuwa na ushindani wa hali ya...
1 Reactions
190 Replies
15K Views
Jamani nimepata taarifa muda mfupi uliopoita eti kwamba yule mchezaji hatari wa simba Emmanuel Okwi amekataa kuongeza mkata mwingine wa kuichezea Simba kutokana na mkataba wake kubakiza miezi sita...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Na makivic08 Mimi Mpenda maendeleo wa soka la Tanzania, na mwana harakati kunyenyua Soka letu, nina machache ya kuongea baada ya Raundi hii ya kwanza ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzanzia Bara. *...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
habari, wana jf mm binafsi naamin kuwa j kaseja anaua viwango vya makipa wengine waliopo msimbazi,kwan haiwezekan kipa ambaye kila mechi iwe maandalizi ya msimu,ligi,bonanza,mazoezini anadaka yy...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…