KennedyMmari
JF-Expert Member
- Dec 12, 2012
- 979
- 188
Arsenal=Liverpool,tuwasahau na kuwaondoa kwenye "big four",anayefuata kutolewa kwenye big four ni mgonjwa mahututi Chelsea....maana anaelekea kuwa kama Swansea ama QPR...sasa hivi kuna big two pekee....