Kenge (Eng)
JF-Expert Member
- Dec 7, 2006
- 543
- 156
Ndugu zangu wana JAMVI.
Moja ya vigezo vya kuteuliwa kugombea nafasi ya urais TFF ni uzoezi wa kuongoza mpira usiopungua miaka 5.
Naomba mniambie huyu MALINZI huo uzoefu aliupata wapi? Uongozi mkubwa ni ngazi ya klabu kama mjumbe!!!
Ni Juzi tu amegombana na viongozi wa Timu ya mkoa wake KAGERA SUGAR walipomtaka ajieleze kwa nini alishindwa kwenda kumuona KOCHA WA UNDER 17 ya KAGERA SUGAR ndugu RAMA aliyepatwa na ajali akiwa na timu njiani kuelekea DAR kwenye mashindani.
Badala yake aliamaka na kusema sio kazi yake na hakuwa na taarifa kwani hawakumpigia simu!!!!
Alienda mbali na kusema viongozi hao wanataka kumchafua katika harakati zake za kugombea URAIS.
Hakuishia hapo aliendelea kusema KAGERA SUGAR hawana shukurani kwani ameisadia timu mamilioni ya PESA!!!!
Wao kupitia vyombo vya habari walisema kuwa ni muongo kwani timu hiyo haijawahi kupata pesa yo yote toka kwa kiongozi yeyote TFF bali wanakumbuka yeye kutoa laki 3 moja kwa moja kwa wachezaji pale uongozi ulipokataa kuzipokea wakishutukia kuwa ataja tangaza kuwa katoa mamilioni na kuleta mtafaruku kwa wachezaji.
Pia alishawahi kutoa pesa ya "maji" lAKI MBILI kwa waamuzi wakati wa moja ya mechi za ligi kuu iliyofanyika KAITABA!!!! mmmh.
Mwisho alitishia kuwa KAGEARA SUGAR wameshikilia makali na KRFF wameshika mpini. Hii ilikuwa na maana gani?
Uongo alikuwa amezoea Yanga wa kusainisha mchezaji kwa fedha kiduchu na kutanga dau kubwa alidhani unaweza kutumika kwa KAGERA SUGAR, haiwezekani kwani timu hii inaendeshwa kwa taratibu za kampuni na haina expenditure za ovyo ovyo i.e. kamati ya ufundi, n.k.
Ref. Radio Kasibante, contact person Mr. Abdulazak (0713 650 076) na Msemaji wa timu ya KAGERA SUGAR Mr. Mohamed Hussein (0784 289 628)
Nasema sina imani na usahili na sina imani na mtu anayeitwa Mr. Deo Lyato.