Haaa de libolo oye!!!!!

Haaa de libolo oye!!!!!

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,918
Reaction score
38,241
Wapenzi wa simba kama nilivyowapa moyo nauliza tena
kuna anaeperform 100 perc kila siku kwenye ndoa KITANDAN?
Kama sio kwa nini wachezaji wa simba?nao ni binadamu
kama kwenye ndoa mnamalizana mnasubiri kesho same tu ushabiki
vumilien then muanze upya
 
Liborooo 4 simba 0
rage oyeeee kaburu oyeeee mapambano bado yanaendelea
 
Ni Muda wa kuiondoa Simba mikononi mwa msomali na mwarabu kaburu
 
***** hawa viongozi Simba hasa Msomali ndio madhala ya kuweka mbogamboga(ccm) kwenye michezo minduku yao wametuharibia timu
 
***** hawa viongozi Simba hasa Msomali ndio madhala ya kuweka mbogamboga(ccm) kwenye michezo minduku yao wametuharibia timu

umenifurahishaa...polee lakini kaza moyo ndo mpira huo.
 
Haaaahaaaa we Bastola na moira wap na wap
 
Dah,cjui wiki hii itaishaje,dah basi bhana..
 
Rage amelisikilizia libolo kwenye koromeo, dude limedisa mwanzo mwisho.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
mimi mshabiki wa simba ila uwekezaji wanaofanya azam naupenda,hawana siasa wale jamaa

Azam wanaangalia mbali tofauti na Simba na Yanga wao wanachoangalia ni kufangana wao kwa wao tu. Utashangaa Simba pamoja na kusua sua kwake ikifika muda wa kucheza na Yanga inacheza kwa juhudi na kushinda. Simba kwanini mnanitesa lakini?
 
Back
Top Bottom