Jamani naombeni matokeo ya simba na libolo

Jamani naombeni matokeo ya simba na libolo

Simba kafungwa 4-0 na imetolewa kwa jumla ya Goli 5-0.Aibu sana kwa simba kunahitajika kufumua usajili huu hauna maana kabisa
 
Ole wenu mngeshinda tu mngekutana na CHIPUMBU UNITED ya nchumbiji.
 
Simba mjamzito alimwagiwa bao 5,alilazwa Angola lakini kuna process zinafanyika kumrudisha Tanzania maana Chipumbu naye anataka amuingilie tena Simba,wameogopa mimba yao itatoka so chipumba kakosa uhondo
 
yaani aibu team kubwa ka ile kufungwa na LI BOROOOOO .......:biggrin1: wamenywea hata mtaani washabiki hatuwaoni
 
Back
Top Bottom