mechi ya leo kwa sisi wenye local dish

mechi ya leo kwa sisi wenye local dish

Izzo G

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
414
Reaction score
62
samahan wadau hv kwa sisi ambao tuna local dish mechi ya leo ya man utd na madrid tutaiona wap
 
Mbona sion dalil hapa msumbiji 1, kuna litamthilia tu, au ilikuwa Fix.?
 
Hadi half time 0-0, wasio Na usingizi watatupa Matokeo mwisho wa mechi
 
Ilikuwa game nzuri ila refa kaharibu kumpa red card nani kwa foul ambayo isingestahili
 
afadhali man kapigwa ni haki yake:A S angel:
 
Back
Top Bottom