scatter
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 1,679
- 960
Mpira wetu katika sekta ya uongozi uliokwisha muda wake umeingia katika mzozo ambao kama hawatakaa chini huenda tukafikia pabaya na hii ni kwa sababu tu ya kuleta siasi sarakasi katika katiba ya Tff...KAMA SERIKALI haitambui katiba kisa marekebisho madogo tu ..ambayo wanaweza kukaa na kuelewana huu ni ujinga kwa tenga kukaa kikao cha kimya na pia naibu waziri makalla naye si mtu muelewa wa soka anapotoshwa na siasa uchwara za ccm mwishoe tufungiwe bure na Fifa kwa ish u ambayo tunaweza kuimaliza wenyewe tu