Simba hoi kwa Libolo

Simba hoi kwa Libolo

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,347
Reaction score
26,153
Yafungwa tena Angola. Yatupwa nje kwa aibu Klabu Bingwa Afrika. Yametimia...
 
221825-236938.png Tanzania mpira unaharibiwa na Simba na Yanga
 
hili jina mhh unaeza jikuta una-report post kumbe aliyepost yuko sahihi!
jamaa alikua anaangalia mpira kwenye luniga akawa anafurahi anapiga miruzi na vuvuzela akamwambia mke wake checki timu yangu inashinda goli 4-0 mke wake kamuuliza hivi mme wangu leo umelewa sana ? Akasema sana lakini kwanini unaniuliza ? Mke akamwambia kwa sababu hiyo tv yako imegeuzwa hiyo timu yako ndio imebugizwa goli 4-0 akashikwa na butwaa nasikia kaacha pombe na kushabikia hiyo timu (jina la timu nahifadhi)
 
Mkuu THE GREAT CAMP, kwani Yanga ndo wamefungwa na Libolo? Sasa mbona unawataja watu ambao hawamo kwenye mashindano? Tujifunze kumkosoa aliyekosea si kusema mambo kwa ujumla bila sababu!

Ishu iliyo mezani ni kufungwa kwa "simba" na hiyo timu ya Libolo..si kuhusu nani anaharibu mpira wa TZ!

au vipi?
 
Kaseja alikuwa anakata mauno baada ya kupenda mikiki ya LIBOLO akakubali pasipo mkwaruzo kupokea 4.
 
Hawa Simba watakuwa wemenogewa na mabao ya Libolo maana kwanini wameshindwa kupunguza idadi ya Magori? hivyo sio ajabu wakaomba tena game baada ya Msimu kumalizika.
 
Hivi hilo Libolo ni nini tena? mbona mnaleta matusi mchana kweupe?
 
Back
Top Bottom