Simba anakwenda kuhitimisha ushiriki ama kushiriki?

Simba anakwenda kuhitimisha ushiriki ama kushiriki?

ngomicom

Senior Member
Joined
Jul 6, 2012
Posts
123
Reaction score
19
Timu ya Simba imeondoka asubuhi leo saa 10 alfajiri kuelekea Angola kwa mechi ya marudiano dhidi ya wababe wao LIBOLO itakayofanyika Jumapili kwa Mujibu wa vyanzo vinavyoaminika. Kinacho nisikitisha kwa timu yangu ya simba ni hali ambaye timu inaendanayo, mfano;
  • Simba inaondoka ikiwa haijapata utulivu
  • Matumaini ya mashabiki na wapenzi wa Simba yameshuka
  • Confidence kwa wachezajin ipo chini sana hususani baada ya kupoteza kwenye ligi
  • Timu haina cha kujivunia ikiwa Angola, imefungwa goli 1 mechi ya awali, inacheza ugenini, inanauongozi ulioyumba kwasasa kwa presha za wadau
Mwisho najiuliza hivi kikosi cha Simba kimekwenda kuhitimisha ushiriki ama kushiriki? kunamiujiza yoyote itakayoweza jitokeza hata timu ikaturudisha tena mashabiki uwanja wa Taifa kwa mechi za mwendelezo wa mashindano haya?
:lying:
 
Wameahidi kutochezea libolo kwa mara nyingine.
 
Simba wapuuzi tu, wanakwenda kutafuta mabibi sio ushindi, kwisha ! wabadilishe jina waitwe panya!
 
Mpira ni dakika 90 simba timu watanzania tunakuombea ushindi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom