Simba yapokewa na liboro inchini Angola

Simba yapokewa na liboro inchini Angola

Msandawe Halisi

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
647
Reaction score
351
Simba yapokewa na libolo tayari kabisa kwa kutawanishwa. Libolo wako fiti kuakikisha simba afurukuti. Mpaka sasa simba wana kichefu chefu kwa kipigo walichokipata. Inasemekena mashabiki wa simba pia wana kichefu chefu. Angalizo tu, kesho simba ikiachia libolo liwatwange. Jumatatu mashabiki wataanza kutapika kwa kipigo cha ndani na njee
 
Uandishi wa jamaa kama vile mlugaluga! Au ni macho yangu tu!
 
kweli simba sasa imekuwa, siyo mwanawali tena. Libolo wamevunja kila kitu
 
enhee baada ya kupokelewa wakapelekwa gesti gani?
Baelezee baelezee
 
Back
Top Bottom