Kwa mashabiki wa Simba,Barca na Arsenal........

Kwa mashabiki wa Simba,Barca na Arsenal........

Ulimakafu

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Posts
31,872
Reaction score
13,857
Simba aka RIBORO:
Wamenyukwa na Libolo,Mtibwa na Libolo tena

Barca:
Wamenyukwa na AC Milan na Real mara 2

Arsenali:
Wamenyukwa na Blackburn,Bradford na Spuds

Hizo ni mechi za hivi karibuni, nawahurumia aisee..........
 
Mie naona ni makosa kufananisha Barca na vitimu hivo, Barca huko Spain inaongoza ligi tena kwa points nyingi tu tofauti na timu inayomfuatia. Sasa hivo vitimu vyako kwenye ligi zao vikoje??????????
 
Nazungumzia presha kwa wapenzi wa timu hizo,assume wewe ni mpenzi wa timu zote 3.MAJANGA.
 
Back
Top Bottom