ukisoma vizuri hivyo vichwa vya habari utagundua kama vinajichanganya!kingine kinaonyesha tff umesalimu amri!kingine serikali ndo imesalimu amri na mwisho inaonekana ngoma drooo!!haikushangazi wewe hiyo!!!huyu bwana mbona haeleweki?
ukisoma vizuri hivyo vichwa vya habari utagundua kama vinajichanganya!kingine kinaonyesha tff umesalimu amri!kingine serikali ndo imesalimu amri na mwisho inaonekana ngoma drooo!!haikushangazi wewe hiyo!!!
kweli waandishi njaa
Wakipata zero form four wanakwenda kuanza Certificate kwenye vile vyuo vyao vya kata.
Mwishowe wanaunga unga mpaka anaibuka na Degree...
Sheenz type
Nashauri kama kuna mdau anayeweza atubandikie hapa ile original press release iliyotolewa na TFF jumatano machi 20, wadau muisome kisha mtajua nini hasa kilimaanishwa.
Salaam zenu toka Bwanjai, Kiziba,anayetaka nimletee senene aseme!
Wakipata zero form four wanakwenda kuanza Certificate kwenye vile vyuo vyao vya kata.
Mwishowe wanaunga unga mpaka anaibuka na Degree...
Sheenz type
Hah hah handas upo?