StarTV walinunua signal ya mchezo huo toka tv station ya Juba,Sudani Kusini ambao ndio walikuwa na haki za kurusha huo mchezo.
Swaafiii member mwenzangu wa Young African Sports Club. Nimependa kaufafanuzi kako.
Ingawa wewe ni Yanga na mimi ni Simba lakini nimefurahi kukuona umejiunga JF tuna hitaji wana michezo zaidi mjiunge maana soka letu limelala sana na kuna mambo mengi huwa yana kosa ufafanuzi....StarTV walinunua signal ya mchezo huo toka tv station ya Juba,Sudani Kusini ambao ndio walikuwa na haki za kurusha huo mchezo.
Hivi karibuni tumeona mechi zinazoihusu Azam FC zikioneshwa moja kwa moja na StarTV lakini ilipokuja mechi kati ya Azam na Yanga hatukuoneshwa moja kwa moja kwa nini?
Sasa huu ni mkataba au ni mambo ya 'kibongo bongo'?
Aksante mkuu lakini mbona walituonesha mechi za ligi takriban mbili hivi moja kwa moja? Yawezekana wanamkataba hawa, kama ni hivo sisitizo langu ni KUUHESHIMU huo mkataba.StarTV walinunua signal ya mchezo huo toka tv station ya Juba,Sudani Kusini ambao ndio walikuwa na haki za kurusha huo mchezo.
Ingawa wewe ni Yanga na mimi ni Simba lakini nimefurahi kukuona umejiunga JF tuna hitaji wana michezo zaidi mjiunge maana soka letu limelala sana na kuna mambo mengi huwa yana kosa ufafanuzi....
Aksante mkuu lakini mbona walituonesha mechi za ligi takriban mbili hivi moja kwa moja? Yawezekana wanamkataba hawa, kama ni hivo sisitizo langu ni KUUHESHIMU huo mkataba.
Sasa kwa nini haya hayafanyiki wakati nchi yetu imekuwa na vituo vya TV miaka mingi? Kwa nini vilevile vilabu haviruhusiwi kuwa na wafadhili wao binafsi? Mfano ni sakata la Africa Lione walipotaka kufadhiliwa na Zantel mwaka jana?Tatizo hadi sasa hatujapata kampuni ya television ya kuingia mkataba na TFF/bodi ya ligi ya kurusha moja kwa moja mechi za premier league yetu. Hii ingewezekana vilabu vyetu vingepata mapato mazuri kuliko viingilio vya milangoni. Kumbuka maximum uwanja wa taifa wanaoingia na kuangalia mpira ni watu elfu sitini,ukirusha mechi "live" wataangalia watu takriban milioni kumi (kutegemea umuhimu wa mechi) hivyo hata advertiser anaangalia mileage.Muhimu jitihada zifanyike tuwe na live coverage za mechi zetu kama ilivyo nchi nyingi duniani.
Kama ni hivo sawia ila nilidhani mwana JF mwenzetu, Yahya Mohamed, angeweka sawa hii lakini (kama ilivo tabia ya waandishi/watangazaji wa habari) hajajitokeza.Star tv imeingia mkataba wa kuonysha game za azam za lig kuu inapokua Azam kama mwnyeji pamoja na game zake za kimataifa.. Sio kwmba startv haitak kuonysha game za simba au yanga ila makubaliano hayakuafikiwa
Kama ni hivo sawia ila nilidhani mwana JF mwenzetu, Yahya Mohamed, angeweka sawa hii lakini (kama ilivo tabia ya waandishi/watangazaji wa habari) hajajitokeza.
Nimesikia kuwa Shafii Dauda, kupitia mtandao wake, kaanza UMBEA (kama kawaida yake) kuhusu StarTV kuonesha mechi za Azam moja kwa moja, akihoji timu pinzani kupata mgao. Hii inamuhusu nini yeye? Au anaona kukaa kwenye radio na kubwabwaja mambo ya soka ndio utaalam? AMENIKERA mno.
Hivi karibuni tumeona mechi zinazoihusu Azam FC zikioneshwa moja kwa moja na StarTV lakini ilipokuja mechi kati ya Azam na Yanga hatukuoneshwa moja kwa moja kwa nini?
Sasa huu ni mkataba au ni mambo ya 'kibongo bongo'?
Kama wana mkataba basi watueleze upo vipi sio kutuonesha mechi tu za Ruvu JKTs na kuacha za Yanga na Simba!!!!!!
Tatizo la timu hizo (bolded) tunalifahamu kuwa ni KAMATI ZAO ZA UFUNDI kuwakataza mechi zao kuoneshwa moja kwa moja kuepuka mmoja wao kumfanyia kinyume wakati wa mechi na kutegemea mapato ya mlangoni tuu. Sasa wasiingilie Azam mipango yake kwani kuna bwana mmoja ajiitae Shafii Dauda keshaanza UMBEA wake.Simba na yanga walishakataa mechi zao kurushwa live mpaka na vitisho wakatoa, sasa kama mechi inawahusu sidhani kama Azam wanaweza kutumia muda wao kwenye malumbano....!
Si Yanga tu hata Simba nao haitarushwa kwa sababu za kipuuzi. Hebu tujiulize wanapotutangazia mechi za Englang na fixture yake hulipwa pesa ngapi??????????Tembelea tovuti ya Shaffih Dauda {www.shaffihdauda.com} utapata habari kamili kuhusu Star TV na Azam na kwa nn mechi ya Yanga na Azam haikurushwa Live.