British footballers....

British footballers....

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
Kwanini wachezaji karibu wote wa England wanacheza nyumbani,

tofauti na timu za mataifa mengi?
 
ndio tabia za wazungu wanaojiona wakubwa miaka yote.hata italy ilishawahi kuwa hivyo.ujerumani na hispania zote zilikuwa hivyo.ufaransa ndio kawafundisha kutoka nje na kuthamini walioko nje
 
ndio tabia za wazungu wanaojiona wakubwa miaka yote.hata italy ilishawahi kuwa hivyo.ujerumani na hispania zote zilikuwa hivyo.ufaransa ndio kawafundisha kutoka nje na kuthamini walioko nje

Nakubaliana na Ww kila ulichosema sema Waengereza kimpira sawa na Mmarekani na kuliona Taifa lake bila kuelewa nje ya nchi pia yapo maisha. Ni kweli ufaransa walianza then Italy na Spain hapa mwishoni ila ukichunguza Ligi kubwa miaka hata ya 70 waengereza ndio walianza kutoka nje wengi hawakufanikiwa waoga hawajiamini aliofanikiwa ni Mmoja tu Kevin Keegan wangine wote Flop Beckham market tu sio mpira kidogo unaweza kusema Real Madrid bado anamuona Steve Macmanaman kama Legend ila sio kihivyo England waliotoka nje wengi Flop ila Spain kutoka kwao nje imeisaidia sana mpira wa Spain wafaransa ilikuwa rahisi kutoka nje sababu Ligi yao haikuwa kubwa kama ya England,Italy,spain na ujerumani. English players hawajiamini wao maneno ya magazeti na kusifiwa kule itakuwa tabu tumerisi mengi kwa English koloni kuliko Ujerumani.
 
Kwanini wachezaji karibu wote wa England wanacheza nyumbani,

tofauti na timu za mataifa mengi?

Kwa sababu kucheza kwao nyumbani inamaanisha mpira unalipa kuliko kwenda kucheza nje. Ni sawa na mimi nisingekuja kukaa Alaska kama Tanzania fani yangu ingekuwa inalipa.
 
Kwa sababu kucheza kwao nyumbani inamaanisha mpira unalipa kuliko kwenda kucheza nje. Ni sawa na mimi nisingekuja kukaa Alaska kama Tanzania fani yangu ingekuwa inalipa.

What Skiing!???
 
Kwanini wachezaji karibu wote wa England wanacheza nyumbani,

tofauti na timu za mataifa mengi?
hawajui soka tafuta sasa hivi ni mchezaji gani akachezee klabu ya pili tu katika la liga bundes na scudeto na apate namba ya kudumu nani?
 
Back
Top Bottom