Rockcity native
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 2,176
- 1,472
Wale washika bunduki wenzangu msihofu pengo la point 4 toka kwa totenham. Bado 2na kiporo, tukishnda inabak point moja ambayo naamin kwa game ngum walizonazo totenham kuanzia swansea,evaton,mancity had chelsea sina shaka nafas ya 4 ni yetu