Kaseja nae kaharibu utamu wa ushindi, ilibidi wasipate hata bao wale hii yote ni kutokana na kujisahau au misifa!!!
mkuu wanasema golikipa kadri umri unavyo zidi ngivyo na yeye anakuwa bora zaidi!!ni kama wine vile,kafanya kazi nzuri sana!!!Ni kwa sababu ya uzee. Ukiwa mzee umakini unapungua.
Nilipenda Samatta alivyomkalisha chini yule beki 2 wao! !Faida ya kuuza wachezaji nje ya nchi leo imeonekana. Dogo hana papara akifika golini. Safi sana SAMATTA & ULIMWENGU.
mkuu wanasema golikipa kadri umri unavyo zidi ngivyo na yeye anakuwa bora zaidi!!ni kama wine vile,kafanya kazi nzuri sana!!!
Nilipenda Samatta alivyomkalisha chini yule beki 2 wao! !
Achen utan kaseja kajitahd sana kaokoa sana kipind cha kwnza na hata cha pili... Kwangu mie nyota wa game alikta amri kiemba, wengi mtakataa lakin najua impact alofanya
haujakosea mkuuu uko sawa kabisa.Achen utan kaseja kajitahd sana kaokoa sana kipind cha kwnza na hata cha pili... Kwangu mie nyota wa game alikta amri kiemba, wengi mtakataa lakin najua impact alofanya
acheni utani nyie kaokoa magoli kadhaaNi kwa sababu ya uzee. Ukiwa mzee umakini unapungua.
Tatizo la wabongo wanaangalia tukio la mwisho kabisa. Kiukweli Ulimwengu ndiye anayestahili sifa kwa kupiga pasi za mwisho kali zilizozaa magoli, na yeye kufunga lile la kuongoza.Ulimwengu ndiye aliyemkalisha chini beki na kutoa pasi kwa Samata aliyefunga goli. Leo Ulimwengu ndiye aliyekuwa chachu ya ushindi wa Stars kwa kutoa pass mbili za magoli na kufunga moja yeye mwenyewe (la kwanza).