..Wanaojulikana kuwa waasi wa klabu ya Simba walijikusanya katka kikao chao kinachotafsiriwa kuwa cha harusi .... kwa watu wenye akili zao timamu wanakuwa na maswali mengi kutokana na mazimio waliyoyatoa... moja ya maazimio yao ni kukabidhi klabu kwa Hans Pope na Malkia wa nyuki... lakini cha ajabu ni kwamba hawakufanya mawasiliano yoyote na hao wanaowataja kuwakabidhi timu... binafsi siko upande wa viongozi wanaokiuka katiba (kama kweli imekiukwa) lakin ninawashangaa hao wanaojifanya kufanya mapinduzi lakini hawana mipango mathubuti kwamba baada ya mapinduzi nini kifuate mfano timu itakwenda kwa nani, itakula wap .. hatima ya wachezaji... lakin hawa jamaa wanaomyesha dalili za kufanya fujo na kuirudisha klabu nyuma.... lakini Rage na kamati yake wazingatie kufuata katiba na kuwa wawazi katka yale yanayotakwa kuisadia klabu kwenda mbele........