La Furia Roja(The Red Fury)

La Furia Roja(The Red Fury)

gutierez

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2010
Posts
1,246
Reaction score
160
Leo saa 5 usiku kwa saa za afrika mashariki mabingwa wa soka duniani na ulaya Spain watakuwa jijini Gijon ktk World cup qualifier vs Finland uwanja wa El Molinon,tarehe 26 machi Spain itakuwa France vs France ktk world cup Qualifier nyingine,in La Furia Roja we Trust
 
1-1 jana Sergio Ramos Garcia aliekuwa Captain jana alifunga bao la kuongoza kwa kichwa kufuatia kona iliyochongwa na David Silva Jimanez,ktk dk 49 (dk 4 kipindi cha pili) na mnamo dk 79 Finland wakasawazisha baada ya counter attack nzuri waliofanya,Spain iliwakilishwa na Valdes,Alberoa,Alba,Ramos,Pique,Busquets,Silva,Cazorla,Villa,Fabregas na Iniesta,sub wakaingia Pedro badala ya Cazorla,Negredo badala ya Villa na Mata badala ya Fabregas kweli Spain ilifanya uzembe kwa bao la kusawazisha na inabidi kocha aliangalie hilo kabla ya j4 kuvaana na france maana waswahili wana msemo wao usipoziba ufa ..................! Matokeo mengine niliyobahatika kuyaona ni Eygpt imewachapa Swaziland mabao 10-0,Japan 2 Canada 1,Kazakhastan 0 Germany 3,Ecuador 5 El Salvador 0
 
Leo saa 4 usiku kwa saa za Afrika mashariki mabingwa wa soka duniani na ulaya La Furia Roja(The Red Fury)watakuwa huko nchini France kupambana na France ktk kuwania kufuzu kwenda World Cup 2014 huko Brazil
 
Ikicheza ugenini huko Paris France,mabingwa wa soka duniani na ulaya Spain jana ilifanikiwa kushika usukani ktk kundi lake kwa kuwachapa France bao 1-0 kwa bao lililowekwa kimiani na Pedro Rodriguez Ledesma kufuatia pasi kutoka kwa Ignazio Nacho Monreal ktk dk 59,huku ikishuhudia kiungo wa France Paul Pogba akila kadi ya pili ya njano=nyekundu mnamo dk 79 ya kwanza kwa kumchezea rafu Xabier Alonso Olano na ya pili iliyomtoa nje kwa kumchezea rafu Nahodha wa Spain ktk mechi ya jana Xavi Hernandes i Creus,Spain iliwakilishwa na Valdes,Alberoa,Monreal,Pique,Ramos,Busquets,Alonso,Xavi,Villa,Pedro na Iniesta sub wakaingia Fabregas badala ya Villa,Jesus Navas Gonzalez badala ya Pedro na Mata badala ya Iniesta.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom