THE THEATRE OF DREAMS TOMORROW WILL BE ON FIRE, Kama shabiki wa Man utd ungependa kikosi kiweje(MTAZAMO TU) Ili tuweze kuiangusha Man city na kuzidi kujihakikishia ubingwa wa kihistoria.Mimi...
===
Barrack Young Controllers II, Vs Azam FC
Leo ni leo asiye na mwana aleke jiwe' na mtoto atumwi dukani - ni pale marudiano ya Kombe la Shirikisho kati ya Azam FC ya Tanzania na Barrack...
STK v AVL
Fixture
Saturday 6 April 2013 | Britannia Stadium | Kick-off 22:00
Stoke City manager Tony Pulis: This league is relentless. It doesnt curry favour with anyone. If you are not...
West Bromwich_Albion Vs Arsenal_The Gunners
Fixture
Saturday 6 April 2013 | The Hawthorns | Kick-off 22:00
West Bromwich Albion head coach Steve Clarke: "They are going to make it...
Naam kama kawaida yetu palguarana ni mwanzo mwisho kuweka historia this time tunaweka historia ya Crown ya La liga na UEFA,
Lazima ikumbukwe kuwa mechi iliyopita ndo ilikuwa fainali haswa kwetu...
Didier - anaamini kwamba klabu yake ya zamani ya Chelsea ni lazima imrejeshe kocha wake wa zamani Jose Mourinho mwisho wa msimu huu kama wanataka kumaliza matatizo ya kuyumba kwa klabu hiyo...
Scottish fans have written a song for Kenyan footballer Victor Wanyama who plays as a defensive midfielder or a centre back for Scottish Premier League side Celtic and the Kenya national team...
Jana,timu ya Chelsea iliitandika mabao 3-1 timu ya Rubin Kazan katika mchezo wa Europa League. Mabao ya Chelsea yamewekwa kimiani na Torres-2 na Victor Moses. Nayo Newcastle ilibamizwa mabao 3-1...
Kiungo anayeozea benchi Barcelona, Alex Song, yuko tayari kusikia ofa ya kurejea Arsenal mwisho wa msimu huu. Klabu hiyo ya London inasemekana kuanza pilika za kumrejesha. Inaaminika kwamba Song...
Tutakua pamoja leo katika janvi kukuletea update za uefa champions league live kati ya real madrid na galatasaray saa 3 na dakika 45 kwa saa za tanzania usikose ama kwa upande mwengine wa ustream...
Kiungo wa Barcelona, Eric Abidal (33) atakuwa "afisa mahusiano ya kimataifa" wa klabu hiyo atakapostaafu kucheza soka. Rais wa klabu hiyo Carles Vilarrubi amemuita Mfaransa huyo kuwa ni "nembo" ya...
SIMBA NA MALKIA WA NYUKI WAONYESHA UZI WA SUNDERLAND YA ULAYA WATAKAOUTUMIA JUMAPILI DHIDI YA LIBOLO
Mwenyekiti wa klabu hiyo, Alhaj Ismail Aden Rage (kulia), akizungumza na Waandishi...
Dar es Salaam. Wakati ujumbe wa Shirikisho la Soka Dunia (Fifa) ukitarajiwa kuja nchini Aprili 16, kufanya tathmini ya mchakato wa uchaguzi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Mwenyekiti wa...
Leo saa 4;05 usiku kutakuwa na mechi nne za robo za kombe la Europe League,
Chelsea v Rubin Kazan
Tottenham v Fc Basel
Benfica v Newcastle
Fenerbahce v Lazio
Real Madrid ya Hispania inaikalibisha Galatasaray ya Uturuki katika robo fainali ya michuano ya Uefa Champion League.Kocha wa Real Madrid,Mreno Jose Mourinho anatafuta kuweka rekodi ya kuwa kocha...