Rage ageuka shujaa mkutano wa simba, wafanyika kwa saa moja

Rage ageuka shujaa mkutano wa simba, wafanyika kwa saa moja

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
15,860
Reaction score
5,803


























[h=2]Saturday, July 20, 2013[/h][h=3][/h]


Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage akifafanua jambo wakati wa Mkutano Mkuu wa Simba wa kujadili maendeleo ya klabu hiyo ulioanza saa nne kamili na kumalizika saa tano kamili katika Bwalo la Maofisa wa Polisi jijini Dar es Salaam leo, ambapo wanachama zaidi ya 700 walihudhuria mkutano huo.



Mwanachama wa Simba kutoka Iringa akiuliza swali katika mkutano huo.

Mwenyekiti wa zamani wa Simba, Hassan Dalali (kushoto) akifuatilia mkutano huo.

Baadhi ya wanachama wa Simba wakiwa katika mkutano huo.
picha kwa hisani ya Michuzi
kwa picha zaidi bofya read more

Wanachama wa Simba wakimpongeza Mwenyekiti wao, Ismail Aden Rage mara baada ya kumalizika kwa mkutano huo.

Wanachama wa Simba wakionyesha furaja yao kwa Mwenyekiti wao baada ya mkutano kumalizika.

Tuko pamoja Mwenyekiti.....

Hongera sana.....

Kila mwanachama alikuwa na shauku ya kutaka kusalimiana na Rage baada ya kufunga rasmi Mkutano Mkuu wa Simba leo asubuhi.
http://3.bp.blogspot.com/-9smqHKAqwf8/UepelH88jNI/AAAAAAAAv0A/lbG-RxjLo9M/s1600/IMG_0879.JPG


Asanteni sana, hapa Rage anaonekana kama akisema.

Rage akisamiliana na Mwenyekiti wa zamani wa Simba Hassan Dalali baada ya kumalizika kwa mkutano.

Rage akitoka katika ukumbi wa mkutano.

Wanachama wa Simba wakimpongeza Rage baada ya kufunga rasmi mkutano Mkuu wa kujadili maendeleo ya klabu hiyo.


at 8:37 AM












​
 
Mimi naona kulikuwa na posho, maana Binadamu akishaona kitu pesa basi hata mswali waliyopanga ya kwanini kufungwa na Watani wa Jadi hawayaulizi.
Du km ni Bwalo la POLISI naona hata hao Mpira pesa hawatasogea
Kweli Timu yangu ya SIMBA sasa Qushney kabisa sina hamu tena, maana mswahili aking'ang'ania mahali hata ............... atakwenda tu.
 
Mbona kwenye muhtasari itv it sound otherwise?
 
Mbona kwenye muhtasari itv it sound otherwise?

mleta uzi ajataka kuwa muwazi tu, ila nimeangalia channel ten, wanachama wamegawanyika, bi hindu kalalama sana anadai al haji gan anaweka mipasho kwenye mkutano, amedai anawaharbia swaumu tu.
Mzee mwingine yy kasema walitegmea kusikia ela za okwi imekuaje, sio bla bla za rage, kwa kifup mkutano haukuwa shwari kihivyo
 
Mbona kwenye muhtasari itv it sound otherwise?

mleta uzi hajataka kuwa muwazi tu, ila nimeangalia channel ten, wanachama wamegawanyika, bi hindu kalalama sana anadai al haji gan anaweka mipasho kwenye mkutano, amedai anawaharbia swaumu tu.
Mzee mwingine yy kasema walitegmea kusikia ela za okwi imekuaje, sio bla bla za rage, kwa kifup mkutano haukuwa shwari kihivyo
 
Hii ni promo @work

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Rage kapita kizembe leo wamepigwa 2-1
 
Yaani mie nimesimama kushabikia Simba.. Mpaka gamba livuke lile.. Tapeli na mwizi na muongo..
 
Naona wanachama wamefurahi, labda walionyeshwa RAMANI!
 
kvp tena?

Mbona hujataja ajenda na majadiliano kwenye kikao hiko cha kuchekesha kilichofanyika dk 45?mbona hujauelezea umma kuhusu marumbano ya malalamiko kwa wanachama wa simba zidi ya mwenyekiti wao Rage?Mbona hujaelezea Rage kazijibu vp tuhuma za ubadhirifu zinazomkabiri?na ungehitimisha kwa kusema mwenyekiti wa simba kakimbia kikao baada ya kuelemewa na tuhuma na kulazimisha kikao kufungwa!!Rage ni mchumiatumbo always anajulikana usiudanganye umma hapa-halafu msipoaangalia ataiiua Simba!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom