Juve yaongoza mapato champions league 2012/2013.

juve2012

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
3,343
Reaction score
2,041
Klabu za Juventus na Ac Milan za Italia zimeshika nafasi ya kwanza na ya nne miongoni mwa klabu zilizoneemeka na mapato makubwa kutokana na ushiriki wao wa UEFA champions league,imesema taarifa ya UEFA.Katika msimu wa 2012-13,klabu zote zilizoshiriki mashindano hayo,zilipokea jumla ya euro milioni 904.6 kutokana na ushiriki,matangazo ya tv,pamoja na perfomance related revenue.Pamoja na kutolewa katika hatua ya robo fainali na waliokuja kuwa mabingwa Bayern Munich,Juventus imepata mapato makubwa kuliko timu nyingine yeyote katika msimu huo.Juve wamepata jumla ya euro milioni 65.3 wakati Bayern wakifuatia kwa kitita cha euro milioni 55.046.Finalist wengine Borussia Dortmund walipata euro milioni 54.161,lakini Milan waliotoka raundi ya pili,wameshika nafasi ya nne wakiweka kibindoni euro milioni 51.4,wakifuatiwa na Madrid(euro milioni 48.4),Barcelona(euro milioni 45.5)na Paris Saint-Germain(euro mil 44.7).Kutokana na Italia kubakiwa na timu mbili tu katika msimu huo,haki zote za matangazo ya tv za Italia ziligawanywa kwa Juve na Milan tu,hivyo kusababisha klabu hizo mbili kupata mapato makubwa kuliko kawaida.
 
Naomba Napoli watoke raundi ya kwanza nibakie na Chomba tu tuendelee "kutuna" tehe tehe!
 
Juve 2012 nilikua sitaki kupost k2 leo but umeniacha hoi kweli. Wale napoli naona hela za Cavani zinawawasha kweli. Badala wangemuuza Cavani Man city alafu wangewabana City wawape na Dzeko juu. Naona wanachamba tu kuwapa madrid hela nyingi kwa ajili ya Higuain.
 
mkuu Bologna,Napoli wanataka kufanya kosa la Liverpool.Believe me Benitez ni kocha wa vikombe na sio ligi.huenda wakawa na msimu mzuri champions league lakini serie a wataisikia kwa bomba.wamemuacha kocha mzuri sana Mazzari.
 
Juve 2012 nilikua sitaki kupost k2 leo but umeniacha hoi kweli. Wale napoli naona hela za Cavani zinawawasha kweli. Badala wangemuuza Cavani Man city alafu wangewabana City wawape na Dzeko juu. Naona wanachamba tu kuwapa madrid hela nyingi kwa ajili ya Higuain.

Ukitaka kujua Benitez ni zero katika usajili waulize Liverpool, kashaleta waspain watatu mpaka sasa.
Ngoja wamlete huyo Higuain halafu tuone kama atawasumbua kina Bonucci
 
Klabu za Juventus na Ac Milan za Italia zimeshika nafasi ya kwanza na ya nne miongoni mwa klabu zilizoneemeka na mapato makubwa kutokana na ushiriki wao wa UEFA champions league,imesema taarifa ya UEFA.Katika msimu wa 2012-13,klabu zote zilizoshiriki mashindano hayo,zilipokea jumla ya euro milioni 904.6 kutokana na ushiriki,matangazo ya tv,pamoja na perfomance related revenue.Pamoja na kutolewa katika hatua ya robo fainali na waliokuja kuwa mabingwa Bayern Munich,Juventus imepata mapato makubwa kuliko timu nyingine yeyote katika msimu huo.Juve wamepata jumla ya euro milioni 65.3 wakati Bayern wakifuatia kwa kitita cha euro milioni 55.046.Finalist wengine Borussia Dortmund walipata euro milioni 54.161,lakini Milan waliotoka raundi ya pili,wameshika nafasi ya nne wakiweka kibindoni euro milioni 51.4,wakifuatiwa na Madrid(euro milioni 48.4),Barcelona(euro milioni 45.5)na Paris Saint-Germain(euro mil 44.7).Kutokana na Italia kubakiwa na timu mbili tu katika msimu huo,haki zote za matangazo ya tv za Italia ziligawanywa kwa Juve na Milan tu,hivyo kusababisha klabu hizo mbili kupata mapato makubwa kuliko kawaida.

Sasa mbona kwenye usajiri tumekua doro kama tumevuna mpunga mrefu kuliko team zote?

Forza Bianconeri!
 
Mbona tumewasajili wachezaji wawili wazuri na wa daraja la juu mkuu.....Carlos Tevez na Fernando Llorente?....

Na bado wataongezwa wengine....

Forza Bianconeri.......

keep-calm-and-forza-bianconeri-1.png
 
Llorente tulimsajili cku nyingi Mkuu, labla Tevez ingawa naye kaja kwa bei chee, tunahitaji kuimarisha midfield hasa wa kuilisha forward line yetu
 
Kutokana na Italia kubakiwa na timu mbili tu katika msimu huo,haki zote za matangazo ya tv za Italia ziligawanywa kwa Juve na Milan tu,hivyo kusababisha klabu hizo mbili kupata mapato makubwa kuliko kawaida.

Hili linaweza kuwa mafanikio au hasara kwa soka la Italia?
 
Llorente tulimsajili cku nyingi Mkuu, labla Tevez ingawa naye kaja kwa bei chee, tunahitaji kuimarisha midfield hasa wa kuilisha forward line yetu
Labda tuongeze kiungo mmoja tu....Lakini tulionao ni wazuri tu mkuu......Marchisio, Pirlo, Asamoah, Pogba na Vidal ni wazuri na walijitahidi sana msimu uliopita......Labda tumuongeze mmoja mwingine wa kuwasaidia Marchisio na Pirlo pale kati.....
 
Haswaa, manake kwa sasa ukimkaba Pirlo team inaishiwa option kabisa na ndio walichokifanya Bayern Munich na kocha wao akajisifu kua ukimkaba Pirlo team haichez.

Sasa hii sio nzuri kwetu, tukimpata mchezeshaji mmoja tu ampunguzie mzigo yule mzee itakua poa sana!
 
Hili linaweza kuwa mafanikio au hasara kwa soka la Italia?

mkuu EMT hilo ni bonge la hasara!ligi itakuwa ya timu mbili tu kutokana na timu hizo pekee kuwa na uwezo wa kusajili na kujiendesha kwa viwango vya juu,nyingine zote zitakuwa wasindikizaji na matokeo yake hakutakuwa na ushindani na hata hao wakubwa wawili wataanza kupwaya kimataifa kwa kucheza ligi rahisi.Ni vema akina Napoli wapumue nao ni afya kwa serie a nzima.hapo juu nilikuwa natania tu kaka,tukibaki wenyewe tutatuna mwanzo halafu baadae tutaanza kukonda kama puto limetobolewa manake Juve ikiwa na Messi huku Napoli wana vitoto unategemea nini hapo?!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Labda tuongeze kiungo mmoja tu....Lakini tulionao ni wazuri tu mkuu......Marchisio, Pirlo, Asamoah, Pogba na Vidal ni wazuri na walijitahidi sana msimu uliopita......Labda tumuongeze mmoja mwingine wa kuwasaidia Marchisio na Pirlo pale kati.....

kiungo mchezeshaji Juve ni mmoja tu,Pirlo!wengine wote wakabaji!Vidal anajitahidi kuwa mchezeshaji but kwa asili ni combative na goal pocher,sifa zisizofaa kwa mchezeshaji.!tunamhitaji mtu kama Hamsik pale!
 
Watu tuna mshiko wetu tumetulia tulii na akina Vidal wetu.wanachonifurahisha Juve huwa si wepesi kuachia wachezaji wao.watakuuzia wanapotaka wao!Cavani angekuwa Turin asingeguswa na mtu!hii inasaidia sana kujenga team chemistry nzuri,kitu kinachowagharimu Madrid,PSG na ngoja tuione Napoli!
 
Back
Top Bottom