ADEN RAGE;Ajidhalilisha mkutano wa simba.

ADEN RAGE;Ajidhalilisha mkutano wa simba.

ferre.g

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Posts
2,215
Reaction score
329
Akiwa ktk mkutano wa simba sport clubs..........rage aliamuru mwanachama mmoja ambae ni mwanamama na maarufu hapa nchini ktk tasnia ya uigizaji,atolewe nje kwa madai kuwa ni hasimu wake na hataki kumuona.............sasa rage na ubabe huu kweli atafika na kuweza kumudu vizuri majukumu yake ya kiuongozi?

ULEVI NI ULEVI TU..UWE WA POMBE,FEDHA.MADARAKA NK NI ULEVI TU.
 
Mimi niliacha kushabikia Simba SC tangu alipochaguliwa kuwa Mwenyekiti huyu gamba, pengine nitaishabikia akimaliza muda wake ila kwasasa sitaki kabisa maana hana malengo yoyote na timu.Macho na masikio yangu nayaelekeza Mbeya City na Tukuyu Star "Banyambala"
 
Nmemuona kakimbia kikao baada ya kushindwa kujibu na kuzidiwa na tuhuma za ubadhilifu-anataka kuleta politcs kwenye soka?Ataiua simba msipoangalia

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Rageee...,et kamvua uanachama palel pale, kumbe simba mwenyekiti mtu akipingana nae tu, ni kosa, na leo naona hakuwa na bastora pale, bi hindu ingekula kwake!
 
Hii timu ikiongozwa kwa matakwa ya mtu mmoja bila kufuata katiba, ipo siku itasambalatika wengine watanzisha simba ya kwao.
 
Rageee...,et kamvua uanachama palel pale, kumbe simba mwenyekiti mtu akipingana nae tu, ni kosa, na leo naona hakuwa na bastora pale, bi hindu ingekula kwake!

magamba bana....walishazoea zidumu fikira za m/kiti
hapa simba mtajuta kumjua msomali Rage
 
Kwani Rage ni wa kwanza? Simba ni taasisi sio mtu
 
leo ndo nimeamini Askari wa Tanzania ni Mazezeta...
Mie nilijuwa Ndugai alipoamuru Polisi wamtoe Tundu Lissu nje then polisi wangejifunza kusimamia sheria...

Kumbe ushuzi uleule, leo tena kuna lingine limeamuliwa limtoe Mama wa watu nje eti nalo likawa linakwenda kumtoa...

teh teh Nyerere alisema ''akili ikifika mwisho basi Mavi huanza kutumika''
 
Kasema hana shida yeye ni mbunge
 
Last edited by a moderator:

hii ni hatari kwa ulevi wa namna ile nisingeona kwenye lininga ningeamini Rage anaonewa
 
ramadhan kareem watan; tuendelee na swaumu amani ikitawala, msije mkapigwa tu...
 
Mimi niliacha kushabikia Simba SC tangu alipochaguliwa kuwa Mwenyekiti huyu gamba, pengine nitaishabikia akimaliza muda wake ila kwasasa sitaki kabisa maana hana malengo yoyote na timu.Macho na masikio yangu nayaelekeza Mbeya City na Tukuyu Star "Banyambala"

shabiki maandazi unapenda timu au unapenda mtu
 
huyu mwizi alipoingia mi nikajua simba basi nani hajui mazoea ni ugonjwa huyu mtu cda aliiba akaja fat akaiba leo hii karudi simba ataacha kuiba umeona mkutano wa club kubwa kama simba unaendeshwa saa moja wakati kuna mambo mengi ya kujadili halafu wanachama wa simba nao ni vilaza wanashindwaje kumuondoa mtu kama huyu ambaye tangia aingie simba imekuwa ikirudi nyuma
 
Mwenyekiti Rage awaka na kupoteza uvumilivu wa kiuongozi: source youtube na Shafiidauda:
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom