Pamoja na watanzania walio wengi kuwa katika kuiombea dua Taifa Stars kocha mkuu wa timu hiyo Poulsein ameshaanza kuleta visingizio kabla hata ya mechi kuchezwa... kikubwa anasingizia wachezaji asilimia 60% wanafunga Ramadhan katika mwezi huu mtukufu na anadai kwamba wachezaji wanakuwa hawana nguvu... Binafsi sijakata tamaa japo kocha anajaribu kujiweka katika mazingira ya visingizio... All the Best Tanzania