yah confirmed kwa habari zaidi soma hii link hapo chini ,watu wengine bana wanakimbilia kuandika thread JF halafu hazina mashiko wala hazijashiba sasa mkuu hapo juu hiyo mistari miwili ndo thread?au ndo kupenda tu sifa bila details?hapa sio FB-jitahidi uishibishe habari hata kueleze background yake kidogo,bibliography,profile in footbal n.k Gerardo 'Tata' Martino: Attacking football lover and hero of Newell
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.