Updates Yanga v/s URA.......Taifa leo tar 21.07.2013!!!!!

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Posts
7,113
Reaction score
946
Twendeni tukaone vifaa vyetu leo,bila kusahau jembe jipya la ushambuliaji kutoka Nigeria na linaloliliwa na Wareno(Ogbu Brendan)
 
Lakini mkuu wewe siuliaga unakwenda kutimiza nguzo ya tatu ktk Uislam, tena ulitoa ahadi kama ukitia maguu anga hizi basi upelekwe Segerea, Nng'alu au geleza lolote lile (ban)?
 
URA lazima wakae...hawana mpira kabisa wale
 
Timu zinapasha hapa, mashabiki wa mnyama ni wachacheeee.., cjui wanajua kitakachotokea!
 
Ivi vitakuwa visingio vya ernie brandts baada ya miechi
-wachezaji wangu wengi wamefunga ndo maana umeona kipindi cha pili wachezaji wangu waliishiwa nguvu
- pia wachezaji wengi wangu muhimu wapo timu ya taifa programs zangu haziendi
- washambuliaji wangu bado ni tatizo, mazoezini wanafanya vizuri lakini kwenye mechi wanapoteza nafasi nyingi
- tunaenda kujipanga ili tuweze shinda mchezo unaofuata
 
Brandts sio kim poulsen, wewe subir dk 90
 
Lakini mkuu wewe siuliaga unakwenda kutimiza nguzo ya tatu ktk Uislam, tena ulitoa ahadi kama ukitia maguu anga hizi basi upelekwe Segerea, Nng'alu au geleza lolote lile (ban)?
Mkuu nilimaanisha kwenye siasa bhana!!
 
Mziki wa Yanga:
1.Dida.
2.Juma Abdul.
3.Joshua.
4.Ibrahim Job.
5.Rajab
6.Telela.
7.Bahanuzi
8.Hamisi Thabit
9.Tegete.
10.Kavumbagu
11.Shabani Kondo
 
Mkuu nilimaanisha kwenye siasa bhana!!

Anhaaah basi poa pamoja mkuu nipe Updates za hapo shamba la bibi, jinsi gani URA wanavyo endeleza ubabe kwa hao vibibi vya soka la bongo.
 
URA wanazozana na mwamuzi,wanaomba taa ziwashwe maana hawauoni mpira.Viongozi wa Yanga wamewaagizia tochi kama zile za machimboni ili wazivae usoni ziwasaidie kuusaka mpira.
Chezeya usajiri wa bin kleb weye eeeh!
 
mkuu, pale benchi namuona mtu kama niyonzima, ni yeye au macho yangu mkuu
 
Back
Top Bottom