Cameroon ni balaa

Cameroon ni balaa

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,345
Reaction score
15,852
Aisee hata Mexico wakishinda watakua wametukubali huu mziki wa leo hakyanani... Etoo bado mashine... Go Cameroon we are all behind u
 
Mh ndugu huo mpira unaoutazama wewe utakuwa tofauti na huu tunaoutazama mimi.
 
Patrickn si nilisikia umeacha......umerudia tena kuvuta kaya?
 
Unatumia king'amuzi gani kuangalia mpira Mbia pekee ndo amecheza akisaidiana na song lakin cameroon wana hali mbaya
 
Cameroon wamejitahidi sana

Wamejitahidi kupunguza idadi ya magoli ambayo wangefungwa. Shukrani kwa mwamuzi wa leo.

Cameroun ndio timu dhaifu kabisa ya Afrika katika michuano ya Kombe la Dunia Brazil.
 
Back
Top Bottom