Dkt Liki Abdallah katika Channel ten kuhusu worl cup

Rutunga M

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2009
Posts
1,769
Reaction score
1,393
ThumbnailServer2

Nashangaa sana huyu mchambuzi wa mpira kutokuwa TBC2 ambao ndio wenye haki ya kurusha kombe la dunia? yeye namuona channel ten katika kipindi kipya wakati channel ten hawana haki ya kurusha kombe la dunia live

lakini jamaa ni kiboko
 
Mkuu acha bangi na viroba.

Ulitaka Dr.Leakey GOOGLE Abdalah ajipeleke huko TBC hata kama hajaalikwa?

Dr.Leakey huko chanel ten ni kama nyumbani kwake,huwa sikosi kumuangalia kila siku ifikapo jioni.
 
Asante kwa tusi
 
Mkuu huyu bwana ni kichwa, naomba kujua ana shahada ya uzamivu katika eneo gani?
 
Hv wanaorusha kombe la dunia ni TBC2 au TBC1?
Mbona hao channel ten wanadai wataonyesha live fifa world cup 2014 from Brazil.
 
Mkuu acha bangi na viroba.

Ulitaka Dr.Leakey GOOGLE Abdalah ajipeleke huko TBC hata kama hajaalikwa?

Dr.Leakey huko chanel ten ni kama nyumbani kwake,huwa sikosi kumuangalia kila siku ifikapo jioni.

hata me pia namwangalia sana liupe ikifika jioni ya saa 12 na marudio kila siku kuanzia saa 11:45 mchana.
Dr yupo vzuri sana katika uchambuzi ananifanye nisibanduke kwa tv.
 
dstv ndo mpango mzima...hao wengine ni michepuko tu....
 
Kama ni tbc2 pekee basi wengi tutakosa burudani hii kwani hapa nilipo wengi twatumia satelite dish, ila naomba channel ten warushe na kuna ile TVM 1 & 2 za mozambique sijui watarusha live?
 
Mkuu huyu bwana ni kichwa, naomba kujua ana shahada ya uzamivu katika eneo gani?

Mkuu Dr Ricky hana PhD yoyote,infact anaitwa Dr Ricky sbb ni nickname aliyopewa wakati yupo Shule lkn jina lake halisi ni abdulmarick abdallah
 
kama ni tbc2 pekee basi wengi tutakosa burudani hii kwani hapa nilipo wengi twatumia satelite dish, ila naomba channel ten warushe na kuna ile tvm 1 & 2 za mozambique sijui watarusha live?
acha ubahiri kama umeweza kununua sataelite dish unashindwaje kununua king'amuzi chako cha dstv kwa sh 129500/= ili ufaidi world cup
 
dstv ndo mpango mzima...hao wengine ni michepuko tu....

Wanaongea kiswahili nao?

Au ndo ule msemo wa Nyerere kuwa mtu akiongea hata upuuzi kwa kiingereza unamuona kaongea cha maana saana?

Dr.Leakey atoshaa
 
mech ya brazl na coratia pia ni uxiku sa5.
 
ThumbnailServer2

Nashangaa sana huyu mchambuzi wa mpira kutokuwa TBC2 ambao ndio wenye haki ya kurusha kombe la dunia? yeye namuona channel ten katika kipindi kipya wakati channel ten hawana haki ya kurusha kombe la dunia live

lakini jamaa ni kiboko

Point of correction:
Channel ten wataonyesha kombe la dunia live!!!
 
Mkuu Dr Ricky hana PhD yoyote,infact anaitwa Dr Ricky sbb ni nickname aliyopewa wakati yupo Shule lkn jina lake halisi ni abdulmarick abdallah
Anaitwa Malik udokta alipewa hapo hapo channel ten na mashabiki...ni dr wa uchambuzi wa mpira
 
KUNA Wakati wa kupanda wakati WA KUV
UNA NAO NDIO HUU

JINALABWANA LIBARIKIWR
 
Back
Top Bottom