Kiukweli nahisi nyuma ya Wambura kuna siasa inapenya......kwanini unapigwa upatu wa kiwango hiki???? nimemsikiliza hata repota wa ITV jana hadi nikashangaa.......Watu wanaokuja kupenya kwa staili hii sometimes nawaogopa..........:der:
Hakika!HAKI haipatikani mpaka kwa ncha ya upanga!Fundisho:In order to get SUCCESS you must work HARD and learn from previous failures!Case study; MALINZI + WAMBURA.
Wambura na Rage ni walewale....Klabu itaendelea na matatizo mtindo mmoja...huu ulikua wakati wa kurudisha mshikamano kwenye klabu..ila kwa wambura madarakani itakuwa miaka mingine mitano michungu sana
Wambura na Rage ni walewale....Klabu itaendelea na matatizo mtindo mmoja...huu ulikua wakati wa kurudisha mshikamano kwenye klabu..ila kwa wambura madarakani itakuwa miaka mingine mitano michungu sana
Kaka umeandika ambacho nakiamini kila siku, hakika itakuwa miaka mingine minne ya MACHUNGU. Nashindwa kuamini wanaomshabikia hivi ni wanasimba wa kweli.
Miaka mingine ya machungu kwani Wambura kashinda uchaguzi? Hapa nimeona kumbe Wambura ana watu wengi kuliko nyie mnao lalamika ndio maana mlitaka asifike kwenye sanduku la kura, imekula kwenu, lazima Simba iwe huru tu tumechoka na wizi wenu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.