Msaada pls na TBC ONE

Msaada pls na TBC ONE

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,125
Reaction score
38,520
Jamani naangalia MPIRA TBC

KUNA JAMAA WANAANGALIA NYUMBA YA PILI KINGAMUZI CHA DSTV


GOLI LIKIINGIA UNASIKIA WANAANZA KUSHANGILIA INACHUKUA DK MOJA NANUSU NA MIMI NAONA GOLI

NINI TATIZO WANAAPISHANA
 
Jamani naangalia MPIRA TBC

KUNA JAMAA WANAANGALIA NYUMBA YA PILI KINGAMUZI CHA DSTV

NINI TATIZO WANAAPISHANA
hao watakuwa wachawi wanachelewesha goli nyumban kwako kikubwa hama nyumba,
 
Ni kawaida kupishana hata wakat wa bunge wewe weka tbc na star tv lazma tbc itatangulia kama nusu dakika. Ni kawaida tu mambo ya phsics hayo. Au sikiliza mpira redion na angalia kwa tv chek tofaut kama dk 1
 
Jamani naangalia MPIRA TBC

KUNA JAMAA WANAANGALIA NYUMBA YA PILI KINGAMUZI CHA DSTV


GOLI LIKIINGIA UNASIKIA WANAANZA KUSHANGILIA INACHUKUA DK MOJA NANUSU NA MIMI NAONA GOLI

NINI TATIZO WANAAPISHANA

Haina tofauti na sauti na mwanga
 
Hiyo kitaalam inaitwa photosynthesis kama umesoma topic ya wave kwenye physics
 
si bora hiyo tofauti ya sekunde kadhaa tu ushukuru, hawa mashetani tbc wakiamuwa warecord mpira baada ya dakika 20 ndio wanawaonesha.
 
Jamani naangalia MPIRA TBC

KUNA JAMAA WANAANGALIA NYUMBA YA PILI KINGAMUZI CHA DSTV


GOLI LIKIINGIA UNASIKIA WANAANZA KUSHANGILIA INACHUKUA DK MOJA NANUSU NA MIMI NAONA GOLI

NINI TATIZO WANAAPISHANA
ni kweli kuna kupishana lkn sio dakika moja na nusu, umeongeza chumvi hapo labda useme ni sekunde kadhaa
 
Hiyo kitaalam inaitwa photosynthesis kama umesoma topic ya wave kwenye physics

facepalm.jpg
 
Back
Top Bottom