Ukistaajabu ya Kaseja Utayaona Ya Cassilas

Ukistaajabu ya Kaseja Utayaona Ya Cassilas

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
kaseja+goli.jpg
Boko alilotoa Cassilas jana kuruhusu bao la tatu/nne? linashabihiana sana na boko alilotoa Juma Kaseja dhidi ya Yanga na kumruhusu Awadh Kufunga kirahisi kama ambavyo Cassilas alimuruhusu Van Kufunga, huenda ikawa ahueni kwa Juma kwamba hakuvuta mshiko na mpira ni mchezo wa makosa
KASEJA7.JPG
 
halimanusura na yeye angekula tano
 
sheeda.jpg
Ugolikeeper ni lawama...hata angekuwa kocha wao hapa hapa ni shida tu!
​
 
Kaseja siyo kipa....isitoshe wachezaji wengi wa kibongo ni wachawi na wasanii ndiyo maana hawafundishiki hata aje kocha gani ni sifuri tu.
 
Kituko zaidi ni kwamba mke wa Casillas ni ripota wa kombe la dunia, kutoka huko kwao Spain. Atakapoanza kuripoti jinsi mumewe alivyogaragazwa 5-1. Panakuwa patamu zaidi
 
Kaseja siyo kipa....isitoshe wachezaji wengi wa kibongo ni wachawi na wasanii ndiyo maana hawafundishiki hata aje kocha gani ni sifuri tu.

Acheni kashfa jamani, kaseja ni kipa mzuri , ila majungu ndo yanaharibu uwezo wake. Mbona casilas hajaambiwa kapewa pesa na holland
 
sana aisee, lakn namuona huruma sana Cassilas, kwanza haongei halafu hata goli la tatu alisukumwa kabisa

Amewapa mwanya Waholanzi wapate SIFA NYINGI ambazo KIMSINGI hawastahili. Pamoja na kwamba Holand ni team kubwa, na walicheza vizuri ila naamin ni kiwango kizuri cha WASTANI.
 
Acheni kashfa jamani, kaseja ni kipa mzuri , ila majungu ndo yanaharibu uwezo wake. Mbona casilas hajaambiwa kapewa pesa na holland



Haya si majungu....watu ama mashabiki kama wewe na wazee wa vilabu ndiyo mnaoharibu mpira wa kibongo. Kaseja ana ujuzi gani, kwanza hana hata kigezo cha kuitwa kipa wa kimataifa ni mapepe tu. Unataka kuniambia unaweza kumfananisha Kaseja na Casillas? Watanzania jaribuni kukubali ukweli jamani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom