Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,278
- 8,868
Habari wakuu!
Nimejiuliza hivi ni faida gani nchi hupata kuandaa kombe la dunia?
Na ni hasara gani nchi inaweza kupata kuandaa kombe hilo?
Nauliza hivyo maana tumeshuudi nchi nyingi duniani zikigombea nafasi hiyo ya kuandaa kombe la dunia kiasi nchi kama qutar imeingia kwenye kashifa ya kutumia karibu dolla milioni 5 kama hongo kwa viongozi wa soka ili tu wapate nafasi ya kuandaa mashindano hayo mwaka 2022
Pia kwa upande wa pili tumeshuudia brazili wananchi wakiandamana kupinga nchi yao kuandaa mashindano hayo kwa kigezo kuwa wanafuja fedha za walipakodi bila faida yoyote kwa wananchi wao
Sasa nimebaki katikati huku wanahonga mabilion kuandaa na huku wananchi hawataki nchi yao kuandaa
Ebu tujuzane hapa ipi ni faida kuandaa au kutokundaa kombe hili.
Nawasilisha!