Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kuna umbali gani kuzunguka uwanja wa mpira mkubwa mara moja? Nlikua Sina pumzi kabisa lakini nmejitahidi ndani ya wiki Tatu nmeweza kuzunguka uwanja wa mpira wa miguu mkubwa zaidi ya mara 15...
0 Reactions
18 Replies
18K Views
Baada ya kuiponda Cameroon kwenye moja ya makala yake katika gazeti la MwanaSpoti, hatimaye timu ya taifa Cameroon( Simba wasiofugika) hapo jana wamemjibu Edo baada ya kumpiga Ghana 2 - 0. Edo...
5 Reactions
50 Replies
7K Views
Karibuni, Huu ni uzi maalumu kwa ajili ya AFCON 2017, Njooni tusemezane, Matokeo, news, n.k Groups of AFCON 2017 GROUP A: Gabon, Burkina Faso, Cameroon, Guinea-Bissau Group B: Algeria, Tunisia...
11 Reactions
300 Replies
33K Views
Full Time Lipuli 3-1 Polisi Dar es Salaam Lipuli inafanikiwa kucheza Ligi kuu kwa msimu wa 2017-2018 Wanapaluhengo Oyeeeeee!!
2 Reactions
41 Replies
8K Views
Baada ya dhuruma waliofanyiwa simba kucgezeshwa kwenye uwanja wa ovyo na mtibwa,leo hii wameicharaza maji maji ya mjini songea goli 3-0 na mpira umemalizika! Ahsante simba Kombe msimbazi msimu huu.!
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Moja ya vitu ambavyo wamefanikiwa wachezaji wengi wa kiafrica walioshiriki Afcon ni kuonyesha mitindo ya UREMBO , wengi walionekana walikwenda zaidi KUONYESHA MITINDO YA NYWELE NA KUPAKA RANGI ...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
The SI Staff Thursday January 5th, 2017 Before Super Bowl LI kicks off, before old rivalries are renewed and season-long scores are settled with higher stakes than ever, before anyone enters a...
3 Reactions
126 Replies
12K Views
Frank Lampard(38) ametangaza rasmi kustaafu kucheza soka ikiwa ni mwaka wake wa 21 ndani ya tasnia hiyo. ===== Former Chelsea and England midfielder Frank Lampard has retired, bringing to an...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Vipi Leo wale wachambuzi wetu wachumia tumbo mmoja king wa Insta anatangaza radio moja inayoongea ongea sana mwingine king wa Facebook aliepata deal kuchambua kiswazi huko, ambao huwa wanaona...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Leo ni siku nyingine tena kwa Simba SC kujikusanyia alama tatu muhimu na kuendelea kujikita juu kabisa kileleni.Simba ikiwa ni timu pekee ambayo haijafungwa mechi hata moja itacheza na Mbao FC ya...
7 Reactions
182 Replies
20K Views
Kipigo ambacho Arsenal ilikipata jana jumamosi ya Februari, 5 kutoka kwa Chelsea cha 3-1 ni kimemweka kocha wa Arsenal, Arsene Wenger katika kipindi kigumu kufuatia mashabiki wa timu hiyo...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Aliyeshinda goli 4 kafungwa 1 aliyeshinda goli tatu kafungwa 2. Final result...Everton 2 Arsenal 1 Bounermouth 1 leicester 0 Kweli Epl mshindi anapatikana Mwishoni mwa...
7 Reactions
23 Replies
3K Views
karibuni mwenye update arushe Simba imeshinda mechi hiyo kwa magoli matatu kwa bila =========== Full Time : Majimaji 0 - Simba 3 88' Laudit Mavugo anafunga goli la 3 63' Said Ndemla...
1 Reactions
75 Replies
10K Views
Uzi unajieleza. Kama kuna mtu amempiga misumari kijana wetu mahiri Shiza Kichuya na Muvugo, basi inatosha jamani, mashabiki tunaumia sana. Tunakwenda kwenye mabanda ya kutizama mpira tukiwa...
9 Reactions
50 Replies
6K Views
http://www.youtube.com/watch?v=57ndLGhffwE Huyu jamaa anapatikana mitaa ya kule kwetu Pemba
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Timu mbovu ya Arsenal leo imeondolewa rasmi kwenye mbio za ubingwa baada ya kuchapwa na Manchester city mabao 2-1 ugenini . Huu ni uthibitsho mwingine kwamba ngoma ya watoto haikeshi . Ni mambo...
12 Reactions
55 Replies
5K Views
Na *YANGA WHATSAPP SUPPORTERS MAKAO MAKUU* Yangawhatsappmakaomakuu@gmail.com Achana na historia yetu ya nyuma tunaamini Yanga ina kila sababu ya kushinda ubingwa wa VPL...
5 Reactions
20 Replies
6K Views
HATIMAYE timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Tanzania, Serengeti Boys imerejeshwa kwenye michuano ya Mataifa ya Afrika kwa vijana wa umri huo. Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania...
2 Reactions
46 Replies
5K Views
Mpaka sasa Stand kesha kubali mabao 2
2 Reactions
70 Replies
6K Views
Chelsea ~ Arsenal MATCH FACTS Head-to-head [emoji117]Chelsea's 3-0 defeat at Arsenal in September was their first loss in 10 Premier League meetings (W6, D3). [emoji117]The Gunners have lost...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…