Lipuli yafanikiwa kurudi ligu kuu ya Tanzania (VPL)

Hizo timu za kugawa pointi kwa Simba na Yanga wala sizipongezi,ligi imekuwa kama ya Spain,angalau Azzam wanatoa ushindani.
 
Lipul vs lipuli kweli kama ndio hivyo lazma wapande ligi ,mechi moja. Wachezaji wako wanagawana mapema
 
Karibu lipuli,tukumbusheni enzi za akina 'ikupilika nkoba'
Hii timu ilikuwa lazima ipande tu ama afe kipa au beki!!! Nilishuhudia mechi yao moja mmm, kweli tuna safari ndefu mno ya soka letu!! Siku hiyo ukionekana una smartphone una record game ni shidaaa! Na kuhakikishia amepanda na kushuka ndani ya msimu mmoja yaani ligi daraja la kwanza kuna figisufigisu huko!! Shetani akasomeee
 
Lipul.jpg

OOyeeeeeeeee...!! Welcome back my home Team Lipul Fc... [HASHTAG]#VPL[/HASHTAG]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom