Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,681
- 239,218
Moja ya vitu ambavyo wamefanikiwa wachezaji wengi wa kiafrica walioshiriki Afcon ni kuonyesha mitindo ya UREMBO , wengi walionekana walikwenda zaidi KUONYESHA MITINDO YA NYWELE NA KUPAKA RANGI , kiukweli soka kwao ilikuwa kipaumbele cha pili.
Na ndio maana wale ambao hawakwenda kuonyesha mitindo ( Egypt ) wamefanikiwa , hata kama kiwango chao hakikuwa kizuri , NAWATABIRIA KUTWAA UBINGWA.
Wito kwa wadogo zetu wa Serengeti Boys , huko muendako , Shedo , viduku , poda au kula Kungu hakutawasaidia chochote .
Soka siyo Urembo .