Yanga v/s Stand uwanja wa Taifa

Selembe wa Stand anajaribu lakini mpira unakuwa chakula kwa Dida
 
Hebu toa taarifa kamili kamili magoli ya yanga nani kafunga na mpira ni dk ya ngapi?
 
Hii ni mechi kati ya yanga na stend.Habari ya simba subiri kesho.Kipa wa stend amecheza ovyo kwa kutoka golini mara mbili na kuruhusu Ngoma na Msuva kufunga.
 
Back
Top Bottom